Nauliza wakuu wenzangu je jina lako lipo sehemu gani katika mwili wako?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,320
33,125
Wakuu wenzangu nawapeni salam zangu, naomba tujadiliane kuhusu hili swali langu je jina lako lipo wapi katika mwili wako? Nawaombeni munijibu kwa busara asanteni nawasilisha.............
 
Jina ndio linanitambulisha km mie mwanamke au mwanaume so jina langu lipo kwenye jinsia yangu(viungo vyangu vya uzazi)
 
Hapo kidogo pana utata, maana kuna majina mengine hayana jinsia
Shukuru, Siwetu, Salama nk
Hata km yapo ni machache sana na utakuta mtu anapewa jina la aina hiyo kwa sababu maalum,au linakuwa linareflect matukio wakati wa kuzaliwa kwake ila ktk asilimia kubwa jina huendana na jinsia kwa uelewa wangu!
 
Back
Top Bottom