Nauliza wakuu wenzangu je jina lako lipo sehemu gani katika mwili wako?

Jina lipi?...nikiwa nyumbani kuna wengine wananiita 'Baba', mmoja 'Hani (honey)', wengine 'Anko', wengine 'shemeji', wengine 'kaka/bro',nikiwa kwenye mambo yetu yale ananiita "baby" (just a joke...lolz), JF wao wananiita "SMU", kazini xxxxx, nikienda kijijini kwetu jina jingine, kanisadi walinipa jingine nk nk. Sasa kama hayo yote yapo kwenye 'nyeti' si itakuwa balaa?
 
Mmmh let say liko kwenye jinsia. Sasa jina kama mzizi mkavu. Ina maana jinsia zimekauka au? Mmmmmh chagua mji
Nichagulieni mji nitawajibuni hilo Swali langu hahahahahh mpaka sasa sijapata jibu kamili jina lako au jina langu lipo Sehemu gani katika mwili wangu au mwili wako?
 
mimi jibu ninalijua ila nilitaka kujuwa kama mnajuwa nyinyi jina lako au majina yenu yapo kwenye Sehemu gani kataka mwili wako? Mtakaposhindwa ndipo mimi nitakapo wajibuni asante.

Sasa kama jibu unalo kwa nini usituwekee ili tuseme "kweli" au "si kweli" ?
 
Sasa kama jibu unalo kwa nini usituwekee ili tuseme "kweli" au "si kweli" ?
Mimi nimeweka chemsha bongo nataka watu wenye akili zao wanijibu wewe kama umeshindwa niambie na pia nataka watu kama kumi waseme tumeshindwa ndio nitatoa jibu langu ......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom