Natembea na mume wa mtu

Natembea na mume wa mtu

Napenda nikushaur kama dada yangu kila ninaposoma uzi wako napata majibu kuwa huenda ikawa ngumu wewe kupata Mume ikiwa utaendelea na huyo mume wa m2 anakupotezea muda huoni yeye kaoa wewe hujaolewa yan elimu haikusaidii kuchanganua jambo hili? Najua nw uko hot umri bdo kdg nw kuna wanaume wanakutaka wapo wa kwel na magumashi xaxa ucsubir ufk muda uje kutafuta mume jf coz wa2 wanakuangalia unavinjari kwel lakin angalia kuna future na kama hakuna tafadhal kaa mbali
 
mume wa ujana wangu!! nimeitika rabekha maana umeniita! nakupenda hubby wangu!
Ukinipenda kama navokupenda, ntamuomba Mungu atuchukue kesho tukaishi peke yetu. Staki bugudha nikiwa na wewe:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Achana na mume wa mwenzako wewe dada.

Ungekuja kushtukia baadaye kama ni mume wa mtu kama alivyoimba Dataz hiyo ingekuwa habari ingine, na hata members humu wangekuonea huruma.

Kuanzia siku ile ulipomuona ananunua nguo za harusi ungemfanya kaka tu.
 
Mwenyezi Mungu akusaidie sana uweze kumuacha. Huyo mume hawezi kukaa nawe muda wote unaohitaji kuwa na furaha. ama atakuacha wewe ama mkewe na akimuacha mkewe ugomvi wenu sio wa kuisha leo.
 
Achana na mume wa mwenzako wewe dada.

Ungekuja kushtukia baadaye kama ni mume wa mtu kama alivyoimba Dataz hiyo ingekuwa habari ingine, na hata members humu wangekuonea huruma.

Kuanzia siku ile ulipomuona ananunua nguo za harusi ungemfanya kaka tu.


hii 'ngeli..... duh sasa kesha onja na kumbuka walikuwa hawajaonjana pepo linapenda sana pande hizo.
 
sometimes in life there are difficult things to explain.....pole sana mwaya! akuna kizuri kisicho na kasoro mme wa mtu ni SUMU!...
lakini fanya kitu moyo wako unacho taka!
..maisha ni mafupi sana...raha jipe mwenyewe
 
Kongosho
nipo upande wako,
alishindwa mwana wa malikia elizabeth sembuse
bi shosti, mwache dada ale vitu, raha jipe mwenyewe mwaya maisha ni mafupi sana.

Mie nashangaa

Ukitaka kujua haya, nenda pale pa kupimia DNA, wanamme wanalea mamluki kibao toka kwa wake zao.

DUnia hii lazima uwe unajua unachotaka, kama ni kujilipua na uko comfortable unajilipua, mme wa mtu kitu gani, watu wanajilipua na akina baba paroko!!!

KAma ndoa ni ya Romeo ana Julieth, huyu Romeo anafuata nini kwa Fatuma??
 
Last edited by a moderator:
bibie acha utoto umri unaenda unatakiwa na ww uwe na familia yako anakupotezea muda
 
siku mwenye mali akijua there are two things involved, ama atagombana sana na mumewe ama atakufuata wewe.
Akigombana na mumewe you are safe akikufuata wewe there are two things involved
Anaweza kukudunda au akawatuma watu wakufanyie mbaya kama dada yule aliye tuma majambazi wakale tigo familia nzima ya mwizi wa mume wake...
Akikudunda you are safe akiamua akufanyie kitu mbaya there are two things involve.......
 
Mwanaume ndio namlaumu. Angejitaidi kukaa mbali na wewe kimasiliano. Mimi nilikimbiwa na mwanamke niliyempenda kuliko lakini unafikiri tukikutana itakuwaje? Nimejitaidi tu imepita miaka 12 wala hatujasogeleana na wala hakuna mawasilano ninayoanzisha mimi. Mwanamke ameumbwa dhaifu, ukiwa patient hata awe mgumu namna gani utampata tu, tatizo huyo mwanaume amekukomalia mpaka akasafiri na wewe ukamkubalia. Usiwe desperate hivyo mdada...
 
Mume wa mtu sumu dada. Tatufa wa kwako. Kama alikuwa anakuhitaji angetangaza katika TV alipie tangazo na ungepatikana na angekuoa!! Anakufanya kibustani na siku utakomaa atakuacha tu. Cheze ndoa na mke wewe.
 
laana kutoka kwa mke wa huyo bwana ni LAZIMA ikupate! unajitafutia matatizo bure na huyo mume wa mtu...hivi wewe ungependa kufanyiwa hivyo? chukulia wewe ndio ungekuwa huyo mke wa huyo bwana...aaagghhhrrrr!
 
Nikiwaza ule msemo kuwa asiye na dhambi na awe wa kwanza kurusha jiwe, then najikuta naogopa kukushauri

we shauri tu sie tutakumbuka ule msemo wa fata maneno yangu usifate matendo yangu.
 
Ushauri wa bure my dia achana na mume wa mtu!!Tena nakushauri hivi nikiwa na maana yangu ee, shauri yako!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom