JabagaM
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 539
- 357
Nikupe kongole kuwa kwanza umetambua kuwa hicho unachozidi kukifanya ni kosa kubwa na haifai kabisa kutembea na mume wa mtu. Nisikuchoshe, that's is called infatuation. Achana naye, kubali ukweli huyo si wako tena siyo wako tena mama it's over and too late. Sina maneno mazuri zaidi ya hayo. Usidanganyike na maneno eti "ninazidi ku fall zaidi kwake, eti yeye ni mtamu sana. Mandhari sasa umeweka wazi kwa hii thread yako yenye ID fake mkewe kajua na anakutafutia dawa kali ya kukufundisha. Sikutishi japo ukweli unauma. Baadae watu kama nyie mnakujaga kupata shida huko mbeleni mkisahau matatizo yameanzia wapi. Mfano: kutopata mimba, kupata mimba na kutoka, kuzaa na mtoto kufariki; mikosi kwenye familia, maradhi kila kukicha. Haya "asiyesikia la mkuu...."