Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,160
Popote ulipo Kaizer, hebu njoo umfanyie usajili huyu binti.
Swali la kizushi: Je boyfriend wa mtu unaweza megana naye? Mchumba wa mtu?
Swali la mtego: Utamjuaje mme wa mtu?
USIZINI; hii ni kwa singles na waliooa kama mke/mme si wako. may be boyfriend bila ngono hapo sawa. Kumbuka boyfriend sio mume so kuwa na mazoea nae sio dhambi. the same to mchumba kuvunjwa uchumbaa sio dhambi kwani bado haijawa ndoa.
Mume wa mtu unamjua kwa mengi, kama hivyo ameshafunga ndoa, wengine wanashuhudia muunganiko kanisani, wengine wanaangalia pete za ndoa (hii ni kulingana na imani ya mtu).