Natembea na mume wa mtu

Natembea na mume wa mtu

Cha mtu huliwa na mtu,
Chuma huliwa na kutu

Mke wa mtu sumu,
Mume wa Mtu maziwa.

We jipendelee utakavyo, ikiwezekana mchune ipasavyo. Mkewe akija kujua utamwambia ni BAHATI MBAYA! !
 
Key words: mme wa mtu sukari, kuchakaza K, kibabu, ndoa naniheshimiwea na watu wote...

Well hapa sisi kama wachangiaji hadi sasa iviz kuna watu wana act the moral side.....highly rational guided with normative rationality. Wachahe sana wamejaribu kuthink outside the box.

Wengi if anything tunamtisha na amri za Mungu na mandiko badala ya kumnasihi na kuona the other side of the story. Sad.

Sad kwa sababu wengi wetu tunayafanya haya haya ila hapa ndo tunajipa high moral authority ya kumnanga huyu dada.

Ushauri wangu wa jumla nankutafakarisha ni kwamba kama ndoa ya jamaa ni guided with love kwa nini anamuacha mkewe anaenda kwa huyu dada? Kama alivosema Kongosho do we nees to go to basics kujiuliza why watu wanaoana? Kitu gani kinatuhakikishia pasipo shaka kuwa kati yao hakuna mapenzi ya kweli? Je, tuna uhakika gani kuwa ndoa ya jamaa haikuwa a matter of convenience? Je kuna namna ya kuhakikisha kuwa wote wanaofunga ndoa wana mapenzi ya kweli ili kuepuka mambo kama haya mbeleni?

Cc: Asprin Kongosho snowhite gfsonwin Dark City mzabzab Kaunga FP RR Raiza Fidel80 Memo King'asti mimisa Preta ARUshone Mrembo by Nature BADILI TABIA sosoliso saudari Nicas Mtei Mamndenyi Paloma
 
Last edited by a moderator:
Nasikia mume a mtu mtamu! Naomba mume wa mtu mmoja ajitolee kunionjesha! Kwi kwi kwi! Jf ina vituko kila kukicha!
 
Biblia inasema '' ndoa na iheshimiwe na watu wote na watu wote waseme amina, sasa mbona wewe unakataa maandiko ya Mungu. Pia Biblia inasema aziniye na mwanaume/mwanamke ambaye sio mmewe/mkewe hana akili na afanya jambo liakaloangamiza nafsi yake na fedheha yake haitafutika. Ikimaanisha heshima yako itashuka na kupotea katika jamii na hutaaminika na watu wengine tena, kwan unajua ni mme wa mtu lakini kwa sababu zako binafsi zilizo kinyume na mapenzi ya Mungu umeamua kutembea na huyo mume wa mtu.Ikiwa utakufa katika uzinzi huo utakwenda zako katika moto wa milele(ufunuo 21.8).

Ww bado ni binti mdogo sana mwombe Mungu atakupa mume wako, achana na mme wa mtu, utaangamia. kabla ya kuangamia utapata laana na taabu nyingi, hata watu ambao wanataka kukuoa, wakiona tabia yako, watajitenga na ww wala hawatataka kukusikia. utajipatia laana na mikosi ya kutokuolewa ikiwa hautaacha tabia hiyo. je una uhakika huyo jamaa hana ukimwi, hana mwanamke mwingine zaidi ya mkewe anayetembea naye, jua kama ameweza kuja kutembea na ww sio vigumu kwake kuwa na mwanamke mwingine nje ya ndoa zaidi ya wewe.naona mwisho wako utaambukizwa magonjwa na kufa kabla ya wakati wako.

achana na mume wa mtu omba Mungu upate mume wako mwenyewe, kumbuka wazinzi hawataurihi uzima wa milele. Tubu dhambi zako kwa kumaanisha kuziacha na kuokolewa utapata rehema, kisha jiunge na makanisa ya watu waliookoka wanaoishi sawasawa na neno la Mungu watakusaidia zaidi kudumu katika mapenzi ya Mungu (ufunuo 21.8, warumi3.23, 5.12, mathayo 1.21, mithali 28.13,Luka 1.77, yohana 1.12
 
key words: Mme wa mtu sukari, kuchakaza k, kibabu, ndoa naniheshimiwea na watu wote...

Well hapa sisi kama wachangiaji hadi sasa iviz kuna watu wana act the moral side.....highly rational guided with normative rationality. Wachahe sana wamejaribu kuthink outside the box.

Wengi if anything tunamtisha na amri za mungu na mandiko badala ya kumnasihi na kuona the other side of the story. Sad.

Sad kwa sababu wengi wetu tunayafanya haya haya ila hapa ndo tunajipa high moral authority ya kumnanga huyu dada.

Ushauri wangu wa jumla nankutafakarisha ni kwamba kama ndoa ya jamaa ni guided with love kwa nini anamuacha mkewe anaenda kwa huyu dada? Kama alivosema kongosho do we nees to go to basics kujiuliza why watu wanaoana? Kitu gani kinatuhakikishia pasipo shaka kuwa kati yao hakuna mapenzi ya kweli? Je, tuna uhakika gani kuwa ndoa ya jamaa haikuwa a matter of convenience? Je kuna namna ya kuhakikisha kuwa wote wanaofunga ndoa wana mapenzi ya kweli ili kuepuka mambo kama haya mbeleni?
umenitupa wangu! Mzima wewe?? Hebu jiibe basi nionje mume wa mtu na mimi!, ebo?
 
Mke wa mtu sumu but kwakuwa wewe ndio mwanamke basi tunasema hivi, MUME WA MTU MAZIWA, os endelea tu mwenetu hadi uje uzeeke ukose mume wakati mwenzio ameshaolewa na wewe ni kipita njia tu
 
umenitupa wangu! Mzima wewe?? Hebu jiibe basi nionje mume wa mtu na mimi!, ebo?

Hahaha shemeji langu ilo! Mambo cacico ngoja nije ile pande ingine tusiharibu uzi wa watu apa ni mapwenti tu
 
Last edited by a moderator:
mume wa mtu mtamu, ngumu kutema ngumu kumeza

Mume wa mtu ni mtamu tena ni mtamu haswaa hilo ndo jibu la sisi tunaotembea na waume wa watu

Shoga endelea nae we so wa kwanza na wala so wa mwisho,ila heka heka ya kina GEA uwage tayari yakikukuta,ila kwa sasa endeleeni kukumbushiana enzi za kutomasana secondary
 
Huwa ninajaribu kuwaza kwa mtazamo hasi.............Mwanaume anaye mkewe afu anakupenda wewe ila anakwambia kabisa kuwa anaye mke na anampenda mkewe...................Wewe kama mwanamke uliyekamilika (si ndo maana kakufuata?)unajisikiaje?? second hand?? Na unaridhika? penzi lako ni la nguo ya mtumba kulinganisha na ile ya dukani?? Yaani unaridhika na second-hand penzi?? Jiulize wewe kama wewe unadeserve penzi la mtumba? kama alikupenda sana alipaswa kukusubiria au kukutafuta mpaka akupate lah sio wako tena, mwache tafuta wao

Akiweza amwache mkewe kwa talaka tatu akuoe wewe............................... ndo atadhihirisha penzi lake kwako otherwise huyo ni selfish na mfujaji tu anataka afaidi kote....................Samahani lakini

mbele za Mungu hakuna talaka, ukishaoa hauruhusiwi kumwacha mkeo hadi kifo kiwatenganishe, ndio maana hata Yesu aliwauliza mafarisayo, je hamkusoma, Mungu alimuumba mtu mme na mtu mke basi, je kwann mnataka kutoa talaka kinyume na mapenzi ya Mungu. kisha kawaambia amwamchaye mke/mme na kuoa/kuolewa na mwingine azini na wazinzi wote hawataurithi ufalme wa Mungu.
 
Siyo lazima awe muislam. Kwani wakristo wangapi wana mke zaidi ya mmoja? Kama vipi nyie halalisheni tu, mkafunge ndoa ya bomani. Sioni ubaya katika hilo. Hii habari ya mke mmoja ni sheria ya kanisa tu, haina madhara yoyote kiimani. Kwa uelewa wangu wa biblia, ni askofu tu ndiyo amezuiwa kuoa mke zaidi ya mmoja.

wakristo hawaoi mke zaidi ya mmoja
hua wana vimada visivyo na haki juu yao
tafuta wa kwako uolewe huyo kashakua wa mwingine shoooo!

sioni kama kuna umuhimu wa kua na mtu pembeni..ulienae ukiona hakufai toka moja kwa moja ukaanzishe mengne kwingne..na kutembea na mume/mke wa mtu kwangu mm ts a big NO
 
wakristo hawaoi mke zaidi ya mmoja
hua wana vimada visivyo na haki juu yao
tafuta wa kwako uolewe huyo kashakua wa mwingine shoooo!

Nafikiri Lugha nzuri hapa ingekuwa ni kwamba kanisa haliruhusu mke zaidi ya mmoja. Lakini wakristo as individuals wanaoa tu. Sema mme anayeamua kuongeza mke wa pili, plus huyo mwanamke aliyekubali kuwa mke wa pili, watatengwa kwenye meza ya bwana, which is not a big deal.
 
Mie nashangaa

Ukitaka kujua haya, nenda pale pa kupimia DNA, wanamme wanalea mamluki kibao toka kwa wake zao.

DUnia hii lazima uwe unajua unachotaka, kama ni kujilipua na uko comfortable unajilipua, mme wa mtu kitu gani, watu wanajilipua na akina baba paroko!!!

KAma ndoa ni ya Romeo ana Julieth, huyu Romeo anafuata nini kwa Fatuma??

Key words: mme wa mtu sukari, kuchakaza K, kibabu, ndoa naniheshimiwea na watu wote...

Well hapa sisi kama wachangiaji hadi sasa iviz kuna watu wana act the moral side.....highly rational guided with normative rationality. Wachahe sana wamejaribu kuthink outside the box.

Wengi if anything tunamtisha na amri za Mungu na mandiko badala ya kumnasihi na kuona the other side of the story. Sad.

Sad kwa sababu wengi wetu tunayafanya haya haya ila hapa ndo tunajipa high moral authority ya kumnanga huyu dada.

Ushauri wangu wa jumla nankutafakarisha ni kwamba kama ndoa ya jamaa ni guided with love kwa nini anamuacha mkewe anaenda kwa huyu dada? Kama alivosema Kongosho do we nees to go to basics kujiuliza why watu wanaoana? Kitu gani kinatuhakikishia pasipo shaka kuwa kati yao hakuna mapenzi ya kweli? Je, tuna uhakika gani kuwa ndoa ya jamaa haikuwa a matter of convenience? Je kuna namna ya kuhakikisha kuwa wote wanaofunga ndoa wana mapenzi ya kweli ili kuepuka mambo kama haya mbeleni?

Cc: Asprin Kongosho snowhite gfsonwin Dark City mzabzab Kaunga FP RR Raiza Fidel80 Memo King'asti mimisa Preta ARUshone Mrembo by Nature BADILI TABIA sosoliso saudari Nicas Mtei Mamndenyi Paloma
 
Mume wa m2 sumu hakuna future hapo.nenda kijijini tafuta kijana wa la saba mjasiriamali umwoe hatakusumbua.au weka picha facebook hakika hutakosa kaserengeti boy.au 2bu dhambi zako nenda kwenye mikutano ya injili watangazie shetani alivyokufanya mwili wa mazoezi kwa wanaume hutakosa mlokole hapo ndo utakuwa umeokota dhahabu fanya hima umri wako unakimbilia udungayembe
 
Nikiwaza ule msemo kuwa asiye na dhambi na awe wa kwanza kurusha jiwe, then najikuta naogopa kukushauri
 
Kwa kuwa kuna dhamira inayokusuta achana naye....Miaka 27 sio mingi wala michache pia unapoteza muda hapa huku ukijifungia milango ya kupendwa...Kama umeamua liwalo na liwe endelea kula raha.
 
Back
Top Bottom