Natembea na mume wa mtu

Natembea na mume wa mtu

Tuko wanaume sita mke wangu kipenzi.
Lakin. Naamin katika hao sita, ni mimi tu ndio unanikubali jinsi navokusuaga hicho kisimi.
Wanaume sita wanakukula tako. Una uzoefu kama Elton John. Ila najua iko siku utaacha
 
adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie. Vijana tuko wengi mjini na kazi zetu ila hatuonekani, loh!
Nawewe usipende mteremko.
Kwani umezuiwa kutongoza huko mjini ulipo?

Binti anasumbuliwa na first love, sasa kwa vile kashampa asali first boy friend wake, sasa kajitambua aachane na jamaa asubirie mume wake wa ndoa.

Kama kulainisha joint basi aruke na single boys wengine si mume wa mtu.
 
we mwache mwenzio kapenda kuwa uhawara kugegedwa mchana tu usiku mpaka mume asingizie safari tena na mwenzie anacheo cha mrs yeye hawara a.k.a kimada, nyumba ndogo, kipozeo na kadhalika na usomi wake wote huo kipindi cha baridi anapopata shida wakati mwenzie kakumbatia hata baridi haijui
njoo kwangu mimi mwenyewe single and searching check avatar mwanamke wa kitz haswa
Naona unachangamkia fursa sio?
Unatelezea na ganda la ndizi mteremkoni.
Safi lakini kuliko kufa mpweke.
 
Unasema huyo mke wa bfriend wako.kaingia anga zako, kivipi kaingia anga zako, nyi mlipotezana hajamuiba kwako, fanya maamuzi magumu vunja uhusiano huo, kwanza unapotezewa mda tu pili wajitia mikosi tu kutembea na mme wa mtu tatu wajinyima nafasi ya kupata mchumba wako aje kuwa mume wako na nne unaelekea kuvunja hiyo ndoa, kuwa na msimamo vua mahusiano hayo kwa nguvu zako zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hi wanajamii,

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 27 ninaomba ushauri wa kuweza kunisaidia kuondokana na tatizo nililo nalo la kutembea na mume wa mtu.

mwaka 2000 nilianza form one kwenye shule moja ya misheni, nilipofika huko kuna wakaka waliokuwa wanavolunteer kufundisha watoto wa form 1$2 baada ya masomo,wao walikuwa ni form 3 $ 4 wenye performance nzuri. sasa kama mnavyojua form one hadi form four wengi wao ni wanakuwa kwenye foolish age, sasa katika hao wakaka wa form 3 waliokuwa na desturi ya kutufundisha akaanza kunisalandia japo mi ndo kwanza nilikuwa na miaka 15 (form one).

Tukaenda hivo ikafika mahali nikamkubali kwa akili zangu za kitoto ili aendelee kunifundisha mana kwa wakati huo nilikuwa sina idea yoyote kuhusu mapenzi na wala nilikuwa sijawahi ku do, basi tukaendelea na mapenzi hayo ya kitoto ambapo yeye alikuwa akinitomasa tomasa to mwilini ula hakuwahi kunifanya chochote kwa wakati ule, japo shule nzima ilijua na walimu walijua na watu walianza kututania sana shule mana yeye alikuwa anajulikana sanapale shule.

huyo mkaka alipofika form four mwanzoni wazazi wake wakamuhamishia shule nyingine ili akamalizie huko,hata alipohama tuliendelea kuonana mana hakuhamishiwa mbali,na hapo ndo tukazidi kupendana zaidi huku ahadi yetu ni kutofanya mapenzi hadi tutakapoowana., alipomaliza form 4 tena wazazi wake wakamtafutia seminary nje ya mkoa akasome five na six,wote tulisikitika mana kipindi hicho kwa mwanafunzi kuwa na simu ilikuwa si rahisi zaidi ni barua tu,hali ikazidi kuwa ngumu japo tulipendana sana.Alipofika seminary mawasiliano yakakatika na hata alipomaliza wazazi wake wakapropose akae huko huko wao wanataka asome short coz wakati anasubiri kwenda chuo.

Baada ya hapo tukapotezana kwa miaka kadhaa na mimi nilipofika advance nikapata mpenzi ambaye tulisomaga nae o level na anajua historia yangu na my first boyfriend,baadae nikafanikiwa kufika chuo kikuu, nilipokuwa mwaka wa pili field nikakutana na my first boyfriend yuko na kaka yake wanatafuta suti ya harusi na huyo boyfriend wangu wa kwanza aliponiona na kaka yake walishtuka sana mana hawakutegemea na wiki hiyo ndo alikuwa anafunga harusi mwaka (2009),basi akaniuliza uli nimekutafuta sana?wote tukabaki tunashangaana tu lkn bado kila mtu alikuwana ishara za kumpenda mwenzake.basi tukapeana namba za cm lakini kwa wakati huo ye alikuwa ni mfanyabiashara na mimi mwanafunzi wa chuo.

baadae tukawa tunawasiliana ila yeye akawa anasisitiza sana tuonane tuongee,mi nilijitahidi sana kumkwepa mana nilijua ye ameshao nami nina mpenzi,baadae akaniuliza kuwa amesikia nina uhusiano na mtu fulani ambaye ye ana mfahamu,mi nikamwambia ukweli, nilipomwambia ukweli akamtafuta huyo mkaka akamuuliza nae akamwambia ni kweli.
lakini kwa bahati mbaya huyo boyfriend wangu wa pili nikiwa namaliza chuo (2010), ye akaoa kimya kimya,nilipotaka kujua sbb akasema kwao wamesema asinioe sbb nimemzidi elimu ye ni form 4 mi chuo ivo nitamsumbua huko mbeleni. boyfriend wangu wa kwanza ambaye tayari ndo mume wa mtu akamfuata boyfriend wangu wa pili kuwa amesikia kuwa ameniacha wakati tulishwahi kufanya mapenzi (amenitoa virgin) kwanini aniache? akamjibu kuwa hawezi kuishi na mwanamke aliyemzidi elimu so ameamua kuoa.

Baadae nilipoanza kazi pa nikapa mpenzi mwingine nae pia nikagundua hana true love yuko after money nikipata tatizo anakaa mbali nami basi tukaachana.wakati wote huo boyfriend wangu wa kwanza(mume wa mtu kwa sasa) alikuwa anafuatilia maisha yangu ki ukaribu huku akidai hawezi kuacha kunipenda maisha yake yote, sasa baada ya kuachana na huyu wa mwisho yeye akaanza kutoroka kwa mke wake anasafiri na kunifuata mkoa ninaokaa,anamuaga mkewe anaenda kwenye biashara anakuja kwangu toka january mwaka huu nimejikuta kwenye mapenzi mazito na huyo boyfriend wangu wa kwanza ambaye kwa sasa ni mume wa mtu na ndoa yake ina miaka 4 na ana mtoto mmoja,kila nikijaribu kumuuliza kama ana tatizo lolote na mkewe anasema wanaishi vizuri tu ila anasema anaona bado roho yake inanipenda sana anashindwa kujizuia na kilichovunja uhusiano wetu ni umbali tu na anasema hata ndugu zake wanajua kuwa bado ananipenda hata sometimes anapokuwa anakuja kwangu baadhi ya ndugu zake wanajua.

sasa wanajamvi wenzangu nisaidieni ushauri nifanyeje mana ndo nazidi ku fall zaidi japo nilikuwa nampenda ili nilipoona ameoa nikaamua kumwachia mungu,lakini naona kama limekuwa jaribu kwangu mana namuonea huruma mke wake japo ye ndo aliingia anga zangu lakini maadamu hana matatizo naona yeye ni innocent kwanini nitoke na mumewe japo,,japo nimempa warning huyu mwanaume asimfanyie vituko mke wake na aendelee kumuheshimu, na mimi simchokozi kwa namna yoyote ile yule mkewe.

jamani nipeni ushauri nifanyeje mana toka mwaka jana sina boyfriend wala mchumba zaidi ya huyu mume wa mtu ambaye ndo alikuwaga boyfriend wa kwanza sasa tumerudiana ye akiwa mume wa mtu tayari.
Cku ukaja olewa na mumewako kabisakabisa..na mumeo akakufanyia hivyo ndo utajua uchungu wa kuibiwa mume.
 
Jitahidi muachane,umri wako unaenda na utaishia kuwa single mama,
Kama wa kuolewa nae ulikosa shuleni,jaribu kazini,kama umekosa kazini jaribu kanisani ,kama umekosa huko jaribu kwenye charity organisation ambazo zina event nyingi nyingi za kusaidia jamii ambapo mkijumuika kwa malengo ya jamii mnaonana na watu wengi ni vijana,usiwe kauzu sana,
 
Atakayekuoa ana kazi ya ziada. Maana bila shaka utachepuka na hao boyfriend zako wa zamani. Una umri wa miaka 27, uko kwenye critical age kwa mwanamke. Huyo mme wa mtu utakiwa nae ila kuna umri ukifika, utajuta. Upatikanaji wa mme huwa ni changamoto kwa mwanamke. Usipoteze muda na huyo jamaa, fanya maamuzi magumu sasa na kama anakupenda mwambie akusaidie kukuacha maana yeye ana mke tayari. Ebu siku muulize, WEWE UMESHAOA, MIMI SIJAOLEWA BADO, NATAKA NIMI NIJE NIWE NA MME WANGU PEKEE, unaichukuliaje hali yangu? Wewe uko ndoani, mimi HUNIPOTEZEI MUDA?
Kisha sikilizia jibu lake.

Ila pia boyfriend wako wa pili NI JEMBE, ameiona picha hii ya wewe na boyfriend wako wa kwanza akaona hapa atachapiwa tu mke wake.

Kikubwa muombe Mungu.
 
Siyo lazima awe muislam. Kwani wakristo wangapi wana mke zaidi ya mmoja? Kama vipi nyie halalisheni tu, mkafunge ndoa ya bomani. Sioni ubaya katika hilo. Hii habari ya mke mmoja ni sheria ya kanisa tu, haina madhara yoyote kiimani. Kwa uelewa wangu wa biblia, ni askofu tu ndiyo amezuiwa kuoa mke zaidi ya mmoja.
Hii theory yako balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo mbona kichwa hako hakijaanza kuumia! Kitaumia zaidi baada ya kupata mimba n.a. either jamaa haitaki n.a. wewe hutaki kuwa single mom.
Hebu fanya hivi, achana n.a. mme wa mtu. Ni afadhali hata ukaja kwangu ambaye sijaoa au tulia upate mwanaume ambaye hajaoa maana tupo wengi sana tu.
 
Akija kwako siku akichelewa usiku ujue yuko kwa mpenzi wake wa kwanza na unapofanya nae mapenzi ujue anamfikiria mpenzi wake wa zamani.
 
Siku mpenzi wako akigundua atakuacha na huyo mume wa mtu hatakuoa kubali yaishe!!!
 
Hakuna tatizo lolote hapo. Angalia tu mke wake asijue. Akijua itakuwa ni shida
 
Back
Top Bottom