Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,836
- 43,536
Tumesha lisema hili tunarudiq kusema.Kabisa kijana ajifunze nidhamu asiache pombe
Pombe sio shida shida ni mtu mwenye.
Tumesha lisema hili tunarudiq kusema.Kabisa kijana ajifunze nidhamu asiache pombe
mkuu i am the same case as you...toka nikutoke....sadly huyu wangu bro hana mtoto wala nini..alafu hataki kujishugulisha..na nimsomi ana degree kabisa...ye nikukaa vilabuni full time ukimuona hata kama unataka mpa kazi unaweza ogopa..kazeeka kisa pombe..wameombea mpaka basi..sober kakaa mwaka hakunywa katoka ni kama kawaida tu yaniNina kaka yangu, blood brother akitoka yeye kuzaliwa nafata mimi, jamaa amekuwa mlevi hatari, mbaya zaidi anaishi na mwanamke wake ambaye wana watoto wawili, imefika hatua, mwanamke anataka kuondoka na watoto arudi kwao akaanze maisha upya,
Mind you "Huyu brother ninaye muongelea hapa kipindi tukiwa wadogo, yeye ndo alikua na tabia njema na darasani alikua bright mno,
Sisi ndugu zake wengine wakati mzee akituchapa fimbo, huyu brother wangu alitumika kama mfano wa tabia njema
Powaaamkuu i am the same case as you...toka nikutoke....sadly huyu wangu bro hana mtoto wala nini..alafu hataki kujishugulisha..na nimsomi ana degree kabisa...ye nikukaa vilabuni full time ukimuona hata kama unataka mpa kazi unaweza ogopa..kazeeka kisa pombe..wameombea mpaka basi..sober kakaa mwaka hakunywa katoka ni kama kawaida tu yani
Kuna mate wangu mmoja naye alikuwa anakunywa sana akaamua kuacha pombe, kuna jamaa mmoja akampa dawa aliikunywa mara mbili akatapika toka siku hiyo mwaka jana July hadi leo jamaa hajawahi gusa pombe.....ukihitaji naweza nikakusaidia kumpata jamaa akupe dawa na unaacha kabisaWakuu mko salama?
Wakuu kiukweli mpaka nimeanza kujichukia kuhusu unywaji wa pombe. Mfano jana nimepiga maji hadi sijui nilirudije ghetto,sometimes kumbukumbu zinapotea sababu ya pombe, kiuchumi napo naathirika,yani naweza nikawa na ka laki moja kangu mfukoni,nikiingia bar tu hako kalaki kataisha na madeni juu.
Sasa asubuhi hii sijui ndo pombe jana nilizinywa nyingi au sijui ni nini nimeingia bafuni nimetapika sana.
Kwa kweli hii hali inanisononesha mno,natamani kuachana na huu unywaji lkn kila nikisema niache nitakaa siku mbili tu naanza tena.mfano leo nilipanga nisiguse pombe ila tayari kuna jamaa yangu ametoka kahama huko ana mpunga keshanambia jioni tukutane tupige vyombo.
Wakuu najinasuaje na unywaji huu wa tungi?
Njoo Kwa MwamposaWakuu mko salama?

urahibu ni habari nyengine wadau
Uzinzi umeacha kwanza huoo ndio Anza naooWakuu mko salama?
Wakuu kiukweli mpaka nimeanza kujichukia kuhusu unywaji wa pombe. Mfano jana nimepiga maji hadi sijui nilirudije ghetto,sometimes kumbukumbu zinapotea sababu ya pombe, kiuchumi napo naathirika,yani naweza nikawa na ka laki moja kangu mfukoni,nikiingia bar tu hako kalaki kataisha na madeni juu.
Sasa asubuhi hii sijui ndo pombe jana nilizinywa nyingi au sijui ni nini nimeingia bafuni nimetapika sana.
Kwa kweli hii hali inanisononesha mno,natamani kuachana na huu unywaji lkn kila nikisema niache nitakaa siku mbili tu naanza tena.mfano leo nilipanga nisiguse pombe ila tayari kuna jamaa yangu ametoka kahama huko ana mpunga keshanambia jioni tukutane tupige vyombo.
Wakuu najinasuaje na unywaji huu wa tungi?
Akiamua anaacha hata mara moja bila kuanza kupunguza na ataweza,kama hapo huyo mshikaji wa kahama anaweza kutana naye na akasingizia ana dose ya dawa wakakaaa hata asinywe, siku nyingine ivo ivo mpaka anazoeaKuacha kwa haraka ni ngumu unaanza kupunguza mdogo mdogo
Mimi ulevi wangu ni mbususu nilikuwa nawez kustahimili week, Sasa hivi nimeshindwa ni kila baada ya siku moja, hapa nimetoka kuicheki pisi moja baadae nikaishi.Wakuu mko salama?
Wakuu kiukweli mpaka nimeanza kujichukia kuhusu unywaji wa pombe. Mfano jana nimepiga maji hadi sijui nilirudije ghetto,sometimes kumbukumbu zinapotea sababu ya pombe, kiuchumi napo naathirika,yani naweza nikawa na ka laki moja kangu mfukoni,nikiingia bar tu hako kalaki kataisha na madeni juu.
Sasa asubuhi hii sijui ndo pombe jana nilizinywa nyingi au sijui ni nini nimeingia bafuni nimetapika sana.
Kwa kweli hii hali inanisononesha mno,natamani kuachana na huu unywaji lkn kila nikisema niache nitakaa siku mbili tu naanza tena.mfano leo nilipanga nisiguse pombe ila tayari kuna jamaa yangu ametoka kahama huko ana mpunga keshanambia jioni tukutane tupige vyombo.
Wakuu najinasuaje na unywaji huu wa tungi?
Anunue 2 ajifungie ndani? Akizinywa zikiisha atatoka mbio akanywe nyingi kuliko kawaida.Bila shaka pombe ulianza kuzinywa ukubwani mkuu, nyie ndo wale ambao mlikuaga na washkaji wanapiga tungi mnawaona kama vile wanapotea sasa na ww life ikakuingiza kwenye mstari ukajikuta unazipiga mpaka zimekutalawa badala ya wewe kuzitawala.
Jifunze kuwa na kiasi anza pole pole ikibid ukisikia hamu ya tungi nenda kanunue mbili tatu kisha jitungue peke yako ukiwa home na sio bar, tafuta hobbies nyingine za kukuliwaza mfano movies, gym, reading books n.k . Najua washkaji ni ngumu kuwakwepa hasa wakiwa wanakupa michongo ila jitahidi uwe na kiasi tu na vipaumbele vyako vianze kwanza kisha pombe ifuate.
#Mwanaume kuacha pombe ni Ufala na mwanaume kuruhusu pombe ikutawale ni ufalala vilevile. GAMBE NI MAISHA. kuwa na kiasi.
Ukiwa serious unataka kuacha pombe kitu cha kwanza badilisha mazingra. Kama unaweza hamia sehemu nyingine kabisa. Pili kata marafiki wote mnao kuywa pombe pamoja. Tatu tafuta kitu cha kufanya kwaajiri ya kujifurahisha ambacho ni mbadala . Yaani ulie mdaa unao endaga kuywa pombe utumie kufanya hicho kitu unacho kipenda. . Ukitaka ushauli zaidi ,uliza.Wakuu mko salama?
Wakuu kiukweli mpaka nimeanza kujichukia kuhusu unywaji wa pombe. Mfano jana nimepiga maji hadi sijui nilirudije ghetto,sometimes kumbukumbu zinapotea sababu ya pombe, kiuchumi napo naathirika,yani naweza nikawa na ka laki moja kangu mfukoni,nikiingia bar tu hako kalaki kataisha na madeni juu.
Sasa asubuhi hii sijui ndo pombe jana nilizinywa nyingi au sijui ni nini nimeingia bafuni nimetapika sana.
Kwa kweli hii hali inanisononesha mno,natamani kuachana na huu unywaji lkn kila nikisema niache nitakaa siku mbili tu naanza tena.mfano leo nilipanga nisiguse pombe ila tayari kuna jamaa yangu ametoka kahama huko ana mpunga keshanambia jioni tukutane tupige vyombo.
Wakuu najinasuaje na unywaji huu wa tungi?
Ni zipi hizo mkuuDawa za kuacha pombe zipo nyingi sana mitaani ni wewe tu hujawa serious kuzitafuta
Hizo huwa zinatolewa na mtaalam mwenyewe kwa uangalizi sio kienyeji enyejiZilimuua mwanangu Fulani, pande za mbeya mitaa ya Iganzo, baada ya mkewe kwenda kwa Mganga Ili amwekee jamaa aache pombe.
Hivyo sishauri hizi idea
Mwamba alitapika mpaka akakata roho.Hizo huwa zinatolewa na mtaalam mwenyewe kwa uangalizi sio kienyeji enyeji
Maana zinahusisha kutapika
Ukipewa hizo siku ukitia pombe mdomoni utaisoma namba
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3357583
Mbona unafanya jaribio la ajabu hivo, uache ili iweje sasa yani......unatusikitisha wenzako.
Nitafute nikupe dawa ya kuacha pombeWakuu mko salama?
Wakuu kiukweli mpaka nimeanza kujichukia kuhusu unywaji wa pombe. Mfano jana nimepiga maji hadi sijui nilirudije ghetto,sometimes kumbukumbu zinapotea sababu ya pombe, kiuchumi napo naathirika,yani naweza nikawa na ka laki moja kangu mfukoni,nikiingia bar tu hako kalaki kataisha na madeni juu.
Sasa asubuhi hii sijui ndo pombe jana nilizinywa nyingi au sijui ni nini nimeingia bafuni nimetapika sana.
Kwa kweli hii hali inanisononesha mno,natamani kuachana na huu unywaji lkn kila nikisema niache nitakaa siku mbili tu naanza tena.mfano leo nilipanga nisiguse pombe ila tayari kuna jamaa yangu ametoka kahama huko ana mpunga keshanambia jioni tukutane tupige vyombo.
Wakuu najinasuaje na unywaji huu wa tungi?
au ndo tuseme ramani unazipatia kwenye ulabuHiyo ni changamoto, hao jamaa ndo wananipa ramani hapa mjini.kuwakataa ni ngumu