min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,271
- 177,314
Pombe inageuka mateso badala ya stareheAnakunywa Kvant huyu. Lazima pombe aione mbaya. Ule mzinga ukiishusha mwenyewe inafuta kumbukumbu😂😂😂😂
Pombe inageuka mateso badala ya stareheAnakunywa Kvant huyu. Lazima pombe aione mbaya. Ule mzinga ukiishusha mwenyewe inafuta kumbukumbu😂😂😂😂
Me broh nakunywa mfn beer hata 15 nafuta, Ila sasa siwezi fakamia me nakunywa kistaarabu mpk nilio nao wananishangaa ndo maana silewi,Watu hawajua hata kunywa pombe vizuri unakuta mtu ndani ya dakika 10 kamaliza chupa ya bia , anaagiza nyungine 🤔 wengi tu hawajui kunywa pombe kwa kustarehe mtu anagida ila alewe haraka bila kujua mathara ya unywaji wa pombe kwa mtundo huo
Mbn kvant iko sawa tuu Ila sio dry afu na msosi umekula sasaBro labda unatumia Kvant, maana ile ni kifutio.
Anyway , pombe mbaya .
Ila mm kuacha bado aisee, ntapiga hivi vilite vyangu kadhaa huku napiga soga .
Kistaff kabisa.
Weekend ndio najiloweka. Weekdays bia zako 5-6 upate hamu ya kula usiku.
Kuacha pombe haluna dawa,ni uamuzi wako wewe binafsi na ni lazima uweke nia kuwa uaachaWakuu mko salama?
Wakuu kiukweli mpaka nimeanza kujichukia kuhusu unywaji wa pombe.
Mfano jana nimepiga maji hadi sijui nilirudije ghetto,sometimes kumbukumbu zinapotea sababu ya pombe,kiuchumi napo naathirika,yani naweza nikawa na ka laki moja kangu mfukoni,nikiingia bar tu hako kalaki kataisha na madeni juu.
Sasa asubuhi hii sijui ndo pombe jana nilizinywa nyingi au sijui ni nini nimeingia bafuni nimetapika sana.
Kwa kweli hii hali inanisononesha mno,natamani kuachana na huu unywaji lkn kila nikisema niache nitakaa siku mbili tu naanza tena.mfano leo nilipanga nisiguse pombe ila tayari kuna jamaa yangu ametoka kahama huko ana mpunga keshanambia jioni tukutane tupige vyombo.
Wakuu najinasuaje na unywaji huu wa tungi?
Bia moja angalau dakika 30 ndo iwe imeisha, mfano mimi nikiwa nacheki movie , kuperuzi jf na x , au kusoma kitabu cha hadithi , ndio unakuta naburudika na pombe yangu mdogo mdogo .Me broh nakunywa mfn beer hata 15 nafuta, Ila sasa siwezi fakamia me nakunywa kistaarabu mpk nilio nao wananishangaa ndo maana silewi,
Kingine mtu anakunywa beer mara kamix na spirits afu kichwa kibovu ttzo Hilo,
Me selewii ety mtu anakunywa mpk kutapika au kuropoka, maneno mm sijafikia huko,
Kvant naiheshimu 😂😂😂Mbn kvant iko sawa tuu Ila sio dry afu na msosi umekula sasa
Huyu jamaa hapaswi kuacha pombe , yeye anapaswa ajifunze somo la nidhamu binafsi kupitia hiyo pombe , kuacha kutakuja baadae tusijidanganye ataacha ghaflaKuacha pombe haluna dawa,ni uamuzi wako wewe binafsi na ni lazima uweke nia kuwa uaacha
Na pia itakua ngumu we kuachaaHiyo ni changamoto, hao jamaa ndo wananipa ramani hapa mjini.kuwakataa ni ngumu
Na pombe ukiitangazia kuacha , inakuzoom tu , utarudi kwa ulafi kuliko wa mwanzoNa pia itakua ngumu we kuachaa
Asiache jamaa angu, unamwachia nani kwa mfanoWakuu mko salama?
Wakuu kiukweli mpaka nimeanza kujichukia kuhusu unywaji wa pombe. Mfano jana nimepiga maji hadi sijui nilirudije ghetto,sometimes kumbukumbu zinapotea sababu ya pombe, kiuchumi napo naathirika,yani naweza nikawa na ka laki moja kangu mfukoni,nikiingia bar tu hako kalaki kataisha na madeni juu.
Sasa asubuhi hii sijui ndo pombe jana nilizinywa nyingi au sijui ni nini nimeingia bafuni nimetapika sana.
Kwa kweli hii hali inanisononesha mno,natamani kuachana na huu unywaji lkn kila nikisema niache nitakaa siku mbili tu naanza tena.mfano leo nilipanga nisiguse pombe ila tayari kuna jamaa yangu ametoka kahama huko ana mpunga keshanambia jioni tukutane tupige vyombo.
Wakuu najinasuaje na unywaji huu wa tungi?
Tenaa unakua uelewii kabisaa kuhusu kuachaaaNa pombe ukiitangazia kuacha , inakuzoom tu , utarudi kwa ulafi kuliko wa mwanzo
Ewaaah Raha ya unywaji simu iwe full charge au una kitabu mimi ile kunywa naruka naanguka siweziBia moja angalau dakika 30 ndo iwe imeisha, mfano mimi nikiwa nacheki movie , kuperuzi jf na x , au kusoma kitabu cha hadithi , ndio unakuta naburudika na pombe yangu mdogo mdogo .
Hahaha me nikinywa ile natumia soda Tena nataka ile inayoganda Ganda, japo na yenyewe vibration lzm uisikie kichwaniKvant naiheshimu 😂😂😂
Hata ule msosi ile kitu inaweza kukutuma ufanye vitu sio kabisa.
Unaweza ukafanya vitu vya kifoo.
Hahahaha pombe sio mbaya , yenyewe imetulia zake kaunta , huyu ni kiherehere chake tu.Tenaa unakua uelewii kabisaa kuhusu kuachaaa
Then, "unatamani sana pombe" kuliko kuacha. I tell you, "Ungetamani sana kuacha pombe" ungeacha.Wakuu mko salama?
Wakuu kiukweli mpaka nimeanza kujichukia kuhusu unywaji wa pombe. Mfano jana nimepiga maji hadi sijui nilirudije ghetto,sometimes kumbukumbu zinapotea sababu ya pombe, kiuchumi napo naathirika,yani naweza nikawa na ka laki moja kangu mfukoni,nikiingia bar tu hako kalaki kataisha na madeni juu.
Sasa asubuhi hii sijui ndo pombe jana nilizinywa nyingi au sijui ni nini nimeingia bafuni nimetapika sana.
Kwa kweli hii hali inanisononesha mno,natamani kuachana na huu unywaji lkn kila nikisema niache nitakaa siku mbili tu naanza tena.mfano leo nilipanga nisiguse pombe ila tayari kuna jamaa yangu ametoka kahama huko ana mpunga keshanambia jioni tukutane tupige vyombo.
Wakuu najinasuaje na unywaji huu wa tungi?
Kabisa na ukinywa kwa makelele na ma vibe na walevi wengine lazima ugide kupitiliza ili uende nao sambamba , ushauri mzuri wa pombe apate kwa wanywa pombe na sio kwa walokoleEwaaah Raha ya unywaji simu iwe full charge au una kitabu mimi ile kunywa naruka naanguka siwezi
zaidi sana napenda nione hao wanaocheza