Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,906
- 12,459
Pombeeee naacha mwakani,mwaka huu naona haiwezekani
Hiyo roho yako ya kutamani pombe ifuate na usiache utafanikiwa.Kama unamwamini Mungu mwombe akupe nguvu ya kuachaWakuu mko salama?
Wakuu kiukweli mpaka nimeanza kujichukia kuhusu unywaji wa pombe. Mfano jana nimepiga maji hadi sijui nilirudije ghetto,sometimes kumbukumbu zinapotea sababu ya pombe, kiuchumi napo naathirika,yani naweza nikawa na ka laki moja kangu mfukoni,nikiingia bar tu hako kalaki kataisha na madeni juu.
Sasa asubuhi hii sijui ndo pombe jana nilizinywa nyingi au sijui ni nini nimeingia bafuni nimetapika sana.
Kwa kweli hii hali inanisononesha mno,natamani kuachana na huu unywaji lkn kila nikisema niache nitakaa siku mbili tu naanza tena.mfano leo nilipanga nisiguse pombe ila tayari kuna jamaa yangu ametoka kahama huko ana mpunga keshanambia jioni tukutane tupige vyombo.
Wakuu najinasuaje na unywaji huu wa tungi?
Wakuu mko salama?

Wakuu najinasuaje na unywaji huu wa tung
Tumia njia zilizosababisha ujifunze kunywa pombe ujifunze pia kuacha pombe.Wakuu mko salama?
Wakuu kiukweli mpaka nimeanza kujichukia kuhusu unywaji wa pombe. Mfano jana nimepiga maji hadi sijui nilirudije ghetto,sometimes kumbukumbu zinapotea sababu ya pombe, kiuchumi napo naathirika,yani naweza nikawa na ka laki moja kangu mfukoni,nikiingia bar tu hako kalaki kataisha na madeni juu.
Sasa asubuhi hii sijui ndo pombe jana nilizinywa nyingi au sijui ni nini nimeingia bafuni nimetapika sana.
Kwa kweli hii hali inanisononesha mno,natamani kuachana na huu unywaji lkn kila nikisema niache nitakaa siku mbili tu naanza tena.mfano leo nilipanga nisiguse pombe ila tayari kuna jamaa yangu ametoka kahama huko ana mpunga keshanambia jioni tukutane tupige vyombo.
Wakuu najinasuaje na unywaji huu wa tungi?
Acha kuwaza ujinga ww.Wakuu mko salama?

Haujawahi kuwa mraibu ndio maanaAkiamua anaacha hata mara moja bila kuanza kupunguza na ataweza,kama hapo huyo mshikaji wa kahama anaweza kutana naye na akasingizia ana dose ya dawa wakakaaa hata asinywe, siku nyingine ivo ivo mpaka anazoea
Fact: Avoid alcohol at all costs. It has no single benefit to your life as a man.Epuka ukaribu na watumiaji