wooooow karibuHehehehehehehee ndo najongea hivooo taratiibuuu....
Jirani vipi mbona mnatagiana na mdogo wangu. Kuna usalama kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc Saint Ivuga
hapo sawa kabisa. naanza kukupenda zaidiHapo nimeelewa.... basi ntafanya siri na baba yeyooo sitamwambia..... ila nikiwa kwenye kikao mwambie asiwe na wivu wala wasiwasi kuwa niko na wewe....
Wewe ohoooSiendi popote ma dear nampenda ati huyu shemeji yako duuuuh, nafwaaaa mieeee
amesikia nahisiWewe ohooo
Huyu sijui jack mwambie ninamwona
Halafu baby mbona makopa hayana rangi nyekundu...haya meupe nayapenda ila sio kama yale mekunduAaameeennn!!!!! ♡♡♡♡ mmwaaah!!
Upo nataka tu nyie nduguz mjione tabia zenu mana kama zinafanana vileJirani vipi mbona mnatagiana na mdogo wangu. Kuna usalama kweli
Haya tu weweamesikia nahisi
Nitake radhi jiraniUpo nataka tu nyie nduguz mjione tabia zenu mana kama zinafanana vile
Radhi ya nn jirani, we kila siku humu ndani warembo wanakusifiaNitake radhi jirani
Kwani ni vibaya jirani mimi kusifiwa!Radhi ya nn jirani, we kila siku humu ndani warembo wanakusifia
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji16][emoji16] crazy wewe.
Halafu toka umekuja naona haujamsalimia wifi yako kulikoni
Hapana si vibayaKwani ni vibaya jirani mimi kusifiwa!