Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
And dont miss it oooo!shem acha nianze kuomba ruhusa kwa my love in advance, maana duuuuh hii ofa ni hatareeeeee
Umeshawahi kukaa abujaa?
And dont miss it oooo!shem acha nianze kuomba ruhusa kwa my love in advance, maana duuuuh hii ofa ni hatareeeeee
Mimi nampenda mama p AKA cute b sasa sumbai kutangaza jimbo lipo wazi bila idhini ya shemeji yangu huu ni ubashite mkubwa
Wala sio pabaya ila...Hahaha nimekushika pabaya eeeh
ndio niko huko meanwhile, unataka kuniagiza nini my shemeji?And dont miss it oooo!
Umeshawahi kukaa abujaa?
AfadhaliNtampigia Ntampigia
Teh ijayo itakuwa ya simu katika mahusiano sio ya kama ya juzi bwanaWala sio pabaya ila...
Natamani nikamilishe hatua zote ili majibu yawe mubasharaaa
Chief sio vizuri bwana mama p nitascreen shot nipeleke hayaUmemuita Nani hapo??? Mbona sioni ulichoandika chief.....
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
HahahAfadhali
Nimepumua kwa nguvu
Dada.....kaka mtafute mwingine wa kumuita huyo @all MMU ladies maana mimi si ni wifieeeeeee, hatanisikia
teh teh
HAKUNA kitu hapa, all MMU Ladies wamesafiri, nimefanya ukachero wangu nikagunduaDada.....
Unajua moyo umeenda mbiyo saana.
Fanya Fanya.....
All MMU ladies.
Kasoro mie tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Dada.....
Unajua moyo umeenda mbiyo saana.
Fanya Fanya.....
All MMU ladies.