Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,072
Hamna neno ANALOPOKA mshamba wa wapi ?BABAAKO NDIO ANALOPOKA.
ANAROPOKA✅
unaandika kwa herufi kubwa 😂😂😂ujinga wako kawaeleze wana ukoo wako sio sisi.
Hamna neno ANALOPOKA mshamba wa wapi ?BABAAKO NDIO ANALOPOKA.
Asante nalifanyia kazi.Safi sana umeonesha nia ya kuwa huru.
Ingia Youtube tafuta mafundisho ya Saa ya Neema na Kweli, utajifunza mengi na Mwisho utakuwa huru sana.
Angalizo: Inahitaji uvumilivu kuelewa, ukienda na concept zako hautaelewa chochote.
Weka pembeni ujuaji kisha uende kujifunza, alafu leta mrejesho wowote uwe mbaya au mzuri
Huo ni uongo. Ufunuo umeandikwa ili kumfunua Yesu.Mnyama wa kitabu cha Ufunuo
Watu wengi hawafahamu kuwa mnyama ni nani, na wengi wamejihusisha naye bila wao wenyewe kujua kama wanashiriki na mnyama. Lakini Mungu hajatuacha gizani, hivyo, kwa kupitia neno lake (Maadiko Matakatifu) tunaweza kumfahamu mnyama huyu aliyelezwa katika kitabu cha Danieli na Ufunuo. Tunapaswa kuyaacha maandiko yajitafisiri yenyewe; kwa maana “hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu.
Maana unabii haukuletwa popote kwa mapenzi ya mwanadamu; bali wanadamu walinena yaliyotoka kwa Mungu, wakiongozwa na Roho Mtakatifu.” 2Petro 1:20-21. Hatupaswi kumuacha mtu flani atafsri unabii kwa jinsi yake mwenyewe, badala yake tunapaswa kuiacha Biblia ijitafsiri yenyewe.
Katika Danieli 7 wametajwa “wanyama wanne” ambao wanawakilisha falme nne. Kumbuka mmyama wa 4 aliyetajwa katika Danieli 7 ndiye mnyama aliyetajwa katika kitabu chote cha Ufunuo. Hivyo hapa tutaangalia sifa za mnyama wa nne wa kitabu cha Danieli, na mnyama wa kitabu cha Ufunuo, kisha tutaangalia ni wapi hapa duniani ambapo sifa za mnyama zinatimizwa kikamilifu.
1. Mnyama atakuwa na uwezo wa kisiasa na kidini (kanisa na serikali).
Ufunuo 17:3 “Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona MWANAMKE, AMEKETI JUU YA MNYAMA mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya makufuru, mwenye vichwa saba na pembe kumi.”
Mwanamke au bibi-arusi katika unabii huwakilisha kanisa.
Ufunuo 21:2 “…Yerusalemu mpya…umewekwa tayari, kama bibi-arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe.”
Ufunuo 21:9 “…Njoo huku, nami nitakuonyesha yule Bibi-arusi, mke wa Mwana-Kondoo.”
Mnyama huwakilisha taifa au ufalme
Danieli 7:17 “Wanyama hao…wanne ni wafalme wanne watakaotokea duniani”
Danieli 7:23 “…Huyo mnyama wa nne atakuwa ni ufalme wa nne juu ya dunia…”
Kutokana na Ufunuo 17:3, mnyama huyu ana mwanamke aliyeketi juu yake, na kwa sababu unabii unatafisiri mwanamke kama kanisa, na mnyama kama taifa. Je kuna taifa au serikali ambayo imechanganywa pamoja na kanisa kama kitu kimoja? Ndiyo! Vatican, ni serikali au taifa ambalo limechanganywa pamoja na kanisa la Romani Katoliki kama kitu kimoja, na kuongozwa na mtu mmoja ambaye ni Papa.
2. Mnyama atakuwa na kanisa & serikali vimekaa juu ya milima 7.
Ufunuo 17:3 “Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu ya mnyama mwekundu sana…mwenye VICHWA SABA na pembe kumi.”
Vichwa saba katika unabii vinawakilisha milima saba.
Ufunuo 17:9 “Hapo ndipo penye akili zenye hekima. Vile vichwa saba ni milima saba anayokalia mwanamke huyo.”
Je hapa duniani kuna kanisa na serikali vimekaa juu ya milima saba?
“Ni ndani ya mji wa Roma, uitwao Mji wa vilima saba, hivyo eneo lote la Serikali ya Vatican limewekewa mpaka kikamilifu.” –The Catholic Encyclopedia, p 529.
“Je vilima saba vya Roma ni nini?
Roma inajulikana kuwa imejengwa juu ya vilima saba. Roma ilisemwa imepatikana wakati Romulus na Remus, wana mapacha wa Mars, walifika katika futi ya kilima Palatine na wakauanzisha mji, Vilima sita vingine ni Capitoline (kiti cha serikali), Quirinal, Viminal, Esquiline, Caelian, na Aventine.” –Geography.about.com
ENCYCLOPÆDIA BRITANNICA
Vilima saba vya Roma
“…kundi la vilima juu au kuhusu ambapo mji wa Roma wa zamani ulijengwa. Mji wa awali wa Romulus ulijegwa juu ya kilima Palatine (#1) (Kilatini: Mons Palatinus). Vilima vingine ni Capitoline, (#2) Quirinal, (#3) Viminal, (#4) Esquiline, (#5) Caelian, (#6) na Aventine (#7) (Vinavyojulikana kimoja kimoja kwa kilatini kama Mons Capitolinus, Mons Quirinalis, Mons Viminalis, Mons Esquilinus, Mons Caelius, na Mons Aventinus).” –http://www.britannica.com/seo/s /seven-hills-of-rome/
Kwa hiyo unabii huu wa Ufunuo 17:3, unaonyesha wazi kuwa mwanamke aliyeketi juu ya mnyama, amekaa juu ya vilima saba vya mji wa Roma. Kwa vyovyote, ni Vaticani na kanisa la Romani Katoliki ambavyo vimekaa juu ya milima saba, na kutimiza unabii huu. Danieli 7:23 inasema mnyama wa mwisho (Roma) anatofautiana na wanyama wengine watatu waliopita. Kwa hakika hakuna taifa wala ufalme mwingine ambao una kanisa na serikali, harafu kwa wakati huo huo umekaa juu ya milima saba. Ila ni kanisa la Romani Katoliki pekee.
TATIZO ni wavivu kusoma
Watu wanaendelea kudanganywa huku wengine wakifanya maendeleo.......Leo nawiwa kufumua ukweli wote kuhusu chapa ya 666 ili watu waache kudanganyana.
Nalipika somo nakuja.
Ila kwa kifupi tu, hii 666 chimbuko ni Israeli kwa mfalme Suleiman.
Why 666 and not other digits? Nakuja!
NB: ukweli huu ulijulikana na wachache mno mimi nikiwa mmoja wao


Andika hapa au andaa uzi mara ngapi unakimbia?TATIZO Kuna watu wa DINI Fulani hawasomi kabisa yani hawasomi.
Mimi nimefanya tafiti, nimechimba nimechimbua, nimeitafuta vitabu Hadi Nchi za watu.
Mtu mmoja anasema Mimi nalopoka.
MNAWADHALILISHA WAISLAMU WENZENU.
NYIE KIDOGO TU HASIRA MATUSI KUJILIPUA, KUJITOA MUHANGA.
Hizi TABIA zote zimeamdikwa kwenye kuanzishwa DINI ya kiislamu.
UFUNUO 9
Hiki KITABU kiliandikwa miaka 1500 kabla ya UISLAMU
FICHE I UJINGA WENU
WasabatoNani kasema papa ni mnyama??
Leo nawiwa kufumua ukweli wote kuhusu chapa ya 666 ili watu waache kudanganyana.
Nalipika somo nakuja.
Ila kwa kifupi tu, hii 666 chimbuko ni Israeli kwa mfalme Suleiman.
Why 666 and not other digits? Nakuja!
NB: ukweli huu ulijulikana na wachache mno mimi nikiwa mmoja wao
Nilopofika kwenye U kuwa V sikuendelea!!!. Mnyama ana jina lenye namba 666.
Ufunuo 13:17 “tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, ispokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.”
Ufunuo 13:18 “Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinaadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.”
Biblia inatuambia kuwa hesabu au namba ya jina la mnyama ni 666
Kanisa la Romani Katoliki hudai kuwa Papa ni kichwa cha kanisa au mwakilishi wa Yesu.
“Maneno yaliyoandikwa katika kofia (miter) ya Papa ni haya, ‘VICURIUS FILII DEI’. ambayo ni ya kilatini kwa ajili ya ‘KASISI WA MWANA WA MUNGU’. Wakatoliki huchukulia kwamba kanisa, ambalo ni jumuiya ya kuonekana, lazima liwe na kichwa cha kuonekana. Kristo, kabla ya kupaa kwake kwenda mbinguni, alimteua M.t. Petro kuwa kama mwakilishi wake…hata hivyo Askofu wa Roma, kama kichwa cha kanisa, alipewa jina ‘KASISI WA YESU.'” –Our Sunday Visitor, (Catholic Weekly) “Bureau of information,” Huntington, Ind., April 18, 1915.
Kwa hiyo “VICARIUS FILII DEI” ndilo jina linalotumiwa na mamlaka ya Upapa na kumthibitisha Papa kama kichwa cha kanisa.
Helufi za kilatini zinaweza kutumika pia kama namba, na siku hizi hujulikana kama “Namba za Kirumi,” na helufi U inaweza pia kutumika kama V.
VICARIVS FILII DEI”
(Kasisi wa Mwana wa Mungu)
V...............................5
I.................................1
C.......................... 100
A..............................0
R,.............................0
I................................1
V.............................5
S.............................0
F..............................0
I................................1
L.............................50
I...............................1
I................................1
D..........................500
E..............................0
I.................................1
Jumla =666
Vicarius inamaanisha, katika nafasi ya
Filii Mwana
Dei Mungu
Hivyo, kanisa la Romani Katoliki linatimiza unabi huu wa hesabu ya mnyama 666 kwa ukamilifu kabisa.
11. Onyo la Mungu kwa wote walio katika kanisa katoliki.
Mungu anaoya vikali sana juu ya wale wote ambao wanashirikiana na mnyama huyu, kama wewe ni mmojawapo unapaswa kuchukua uamuzi sahihi sasa bila kupoteza muda; kwa maana hukumu itakuja juu ya mnyama na yule kahaba (kanisa Katoliki) aliyekaa juu mnyama. Hili ni onyo la mwisho la upendo na la rehema kutoka kwa Mungu.
Ufunuo 14:9-10. “Na mwingine, malaika watatu, akafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo ya gadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.”
Ufunuo 19:20 “Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti;”
Ufunuo 18:4 “Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amemkumbuka maovu yake…Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemuhukumu ni mwenye nguvu
KARIBU KWA MJADALA.
Kanisa la mashoga na wasagaji wakafungiwamimiamadiwenani Wewe ni mmoja wa member wa Dr Ceasar Masis + Pastor Chumvi + Oscar Obeid.
Kwanini kanisa lenu limefungiwa?
Katika huo mstari UISLAMU umetajwa wapi ?!!!Yani kama UNASALI Roman katoliki ujue Unamuabudu mnyama , shetani.
Tena ujue hamna Tofauti yoyote na WAISLAMU YANI Roman Catholic ndio walioanzidha DINI ya UISLAMU Rejea UFUNUO 9 DINI ya UISLAMU ilivyo anzishwa.
Ushetani wa Roman Catholic unapatikana UFUNUO 23 na UFUNUO 17
Ole WENU.
HAPA MZEE WA SIKU NI PAPA.
DANIEL ANATABIRI KUJA KWA KIONGOZI WA SHETANI PAPA MZEE WA SIKU.
DANIEL 7:9.. 13..., 22
Nikatazama hata viti vya enzi vikawekwa, na mmoja aliye mzee wa siku ameketi; mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji, na nywele za kichwa chake kama sufu safi; kiti chake cha enzi kilikuwa miali ya moto, na gurudumu zake moto uwakao.
Danieli 7:9
Nikaona katika njozi za usiku, na tazama, mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye.
Danieli 7:13
hata akaja huyo mzee wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme.
Danieli 7:22


Katika huo mstari UISLAMU umetajwa wapi?!!Yani kama UNASALI Roman katoliki ujue Unamuabudu mnyama , shetani.
Tena ujue hamna Tofauti yoyote na WAISLAMU YANI Roman Catholic ndio walioanzidha DINI ya UISLAMU Rejea UFUNUO 9 DINI ya UISLAMU ilivyo anzishwa.
Ushetani wa Roman Catholic unapatikana UFUNUO 23 na UFUNUO 17
Ole WENU.
HAPA MZEE WA SIKU NI PAPA.
DANIEL ANATABIRI KUJA KWA KIONGOZI WA SHETANI PAPA MZEE WA SIKU.
DANIEL 7:9.. 13..., 22
Nikatazama hata viti vya enzi vikawekwa, na mmoja aliye mzee wa siku ameketi; mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji, na nywele za kichwa chake kama sufu safi; kiti chake cha enzi kilikuwa miali ya moto, na gurudumu zake moto uwakao.
Danieli 7:9
Nikaona katika njozi za usiku, na tazama, mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye.
Danieli 7:13
hata akaja huyo mzee wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme.
Danieli 7:22

OkNaomba unitagi ukiweka huo ukweli
Nikuulize swali mkuu
Wazungu wakiota ndoto wakiwaandikia mnaamini!!!Yani kama UNASALI Roman katoliki ujue Unamuabudu mnyama , shetani.
Tena ujue hamna Tofauti yoyote na WAISLAMU YANI Roman Catholic ndio walioanzidha DINI ya UISLAMU Rejea UFUNUO 9 DINI ya UISLAMU ilivyo anzishwa.
Ushetani wa Roman Catholic unapatikana UFUNUO 23 na UFUNUO 17
Ole WENU.
HAPA MZEE WA SIKU NI PAPA.
DANIEL ANATABIRI KUJA KWA KIONGOZI WA SHETANI PAPA MZEE WA SIKU.
DANIEL 7:9.. 13..., 22
Nikatazama hata viti vya enzi vikawekwa, na mmoja aliye mzee wa siku ameketi; mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji, na nywele za kichwa chake kama sufu safi; kiti chake cha enzi kilikuwa miali ya moto, na gurudumu zake moto uwakao.
Danieli 7:9
Nikaona katika njozi za usiku, na tazama, mmoja aliye mfano wa mwanadamu akaja pamoja na mawingu ya mbingu akamkaribia huyo mzee wa siku, wakamleta karibu naye.
Danieli 7:13
hata akaja huyo mzee wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme.
Danieli 7:22


Umepuyanga666 ni fasihi iliyotumiwa na Yohana akimaanisha mfalme wa kirumi wakati huo.Papa hajawahi kuwa nembo ya kuuza na kununua.Some Tena hiyo mistari uielewe.Wakati Yohana anaandika kitabu chake Wala hakukuwapo mfumo rasmi wa uongozi wa kanisa Katoliki ambao unamtu anaitwa papa bali kanisa lilibaki kumtambua Petro kama kiongozi.
Una usongo sana na hii 666 eeh?Na mimi nimeshangaa sana ndiyo maana nimemuuliza hapo. Okay nasubiri na wewe pia unipe maana ya 666.
Unaamini dini gani?Amina. Tunasubiri ufunue huo ukweli sasa