Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 12,594
- 17,725
Yesu siyo mkatoliki wala msabato wala mlokole chimbuko la madhehebu ni upotevu tuMkuu Lwiva kama sijakosea kwenye huu uzi ulisema kuwa ukiwa darasa la saba ukagundua kuwa mungu yupo na ndio ukawa mwisho wako wa kwenda kanisani. Kwanini ilikuwa hivyo wakati makanisa ndio yanahimiza na kufundisha njia zinazompendeza mungu but wewe ukaacha kwenda