Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

Nataka nifumue ukweli kuhusu 666

Naijua biblia na msahafu kuliko mtu yoyote wewe amini tu ninacho kuambia .....pia swali lako la mbingu limekosq msingi .... ngoja nikufumbue macho kidogo wakristo wa leo wapo kwenye upotovu mkubwa tena huo upotovu ulisha semwa kwenye maandiko kuhusu kizazi cha mwisho na mimi ni shahidi kwa ninayo yaona ....leo wakristo hawajui hata maana ya amri 10 za mungu hivyo wanazipotosha mfano ukimuuliza mkristo katika amri kumi za mungu jpo amri inayo sema usiue tena hiyo amri ilikuja kupitia mikono ya musa sasa kwanini baada ya hiyo amri musa aliendelea kuua na watakatifu wengine kama daudi samweli nk tena kuua hadi watoto wachanga na vizee ...?
Ndiyo maana walikuwa wakijitakasa kwa sheria zao za Torah dhidi ya dhambi walizokuwa wakitenda. Unajua ni maran ngapi kwa mwaka kuhani mkuu alikuwa akiingia hemani kuwaombea wenye dhambi?
 
Umeanza na erroneous premise, hivyo hata conclusion itakuwa erroneous. Soma biblical symbolism, labda itaweza kukusaidia. Na kwa vile wadau wengi huwa wanahitimisha kabla ya kujadili hoja, sidhani kama wewe utafaulu mtihani huu. Ngoja nisubiri.
Just wait
 
Naijua biblia na msahafu kuliko mtu yoyote wewe amini tu ninacho kuambia .....pia swali lako la mbingu limekosq msingi .... ngoja nikufumbue macho kidogo wakristo wa leo wapo kwenye upotovu mkubwa tena huo upotovu ulisha semwa kwenye maandiko kuhusu kizazi cha mwisho na mimi ni shahidi kwa ninayo yaona ....leo wakristo hawajui hata maana ya amri 10 za mungu hivyo wanazipotosha mfano ukimuuliza mkristo katika amri kumi za mungu jpo amri inayo sema usiue tena hiyo amri ilikuja kupitia mikono ya musa sasa kwanini baada ya hiyo amri musa aliendelea kuua na watakatifu wengine kama daudi samweli nk tena kuua hadi watoto wachanga na vizee ...?
Kwanza jibu swali, umesema unaijua biblia kuliko yeyote, nakuuliza neno mbingu katika kitabu cha ufunuo linamaanisha nini? Unaruka ruka, okay na neno chapa lina maana gani katika kitabu cha ufunuo?
 
Ukiona mtu anaanza kujadili hoja kwa nahau kama hiyo, ujue hajui kabisa hicho anachokisema.
 
Kwanza jibu swali, umesema unaijua biblia kuliko yeyote, nakuuliza neno mbingu katika kitabu cha ufunuo linamaanisha nini? Unaruka ruka, okay na neno chapa lina maana gani katika kitabu cha ufunuo?
Neno mbingu kwenye biblia limetumika kwa maana nyingi mfano ni 1)mbingu za kidunia 2)mbingu kwa maana ya makaazi ya mungu 3)mbingu kwa maana ya madaraja ya juu kuelekea aliko mungu .....ili neno limetumika kwa maana tofauti tofauti ni kawaida kwenye maandiko
Neno chapa ya mnyama maana yake dhambi ..
Chapa kwenya paji la uso na mikononi...maana yake mawazo maovu ya dhambi na matendo maovu ya dhambi
Maana ni moja na ili andiko " ndiyo wale wasio zaliwa kwa mwili wala kwa damu" ...kuzaliwa kwa damu ni nia ovu za "dhambi" na kuzaliwa kwa mwili ni matendo maovu ya dhambi
Pia ufunuo una sema watu hawata uza wala kununua isipokuwa wana chapa ya huyo mnyama...sasa tumia hizo fafanuzi juu kujua nini maana ya haya maandiko maana yake kila kitu kitakacho fanywa na wanadamu hata kama kitakuwa kinaonekana chema ila ukweli wake wa ndani kitakuwa kimefungamanishwa na UOVU...hapa sasa ndiyo utakuta sadaka ovu ...upendo wa uovu wema wa uovu....manabii waovu...mitume waovu nk
 
Ndiyo maana walikuwa wakijitakasa kwa sheria zao za Torah dhidi ya dhambi walizokuwa wakitenda. Unajua ni maran ngapi kwa mwaka kuhani mkuu alikuwa akiingia hemani kuwaombea wenye dhambi?
Kwahiyo wewe unadhani waliua nje ya maagizo ya mungu unajua kwanini sauli alichukiwa na mungu moja ya sababu ni kutokutii kuua alimwacha mkuu wa nchi aliyo kuwa wanapigana nayo vita ndipo samweli alikuja kumuua huyo mtu
 
Neno mbingu kwenye biblia limetumika kwa maana nyingi mfano ni 1)mbingu za kidunia 2)mbingu kwa maana ya makaazi ya mungu 3)mbingu kwa maana ya madaraja ya juu kuelekea aliko mungu .....ili neno limetumika kwa maana tofauti tofauti ni kawaida kwenye maandiko
Neno chapa ya mnyama maana yake dhambi ..
Chapa kwenya paji la uso na mikononi...maana yake mawazo maovu ya dhambi na matendo maovu ya dhambi
Maana ni moja na ili andiko " ndiyo wale wasio zaliwa kwa mwili wala kwa damu" ...kuzaliwa kwa damu ni nia ovu za "dhambi" na kuzaliwa kwa mwili ni matendo maovu ya dhambi
Pia ufunuo una sema watu hawata uza wala kununua isipokuwa wana chapa ya huyo mnyama...sasa tumia hizo fafanuzi juu kujua nini maana ya haya maandiko maana yake kila kitu kitakacho fanywa na wanadamu hata kama kitakuwa kinaonekana chema ila ukweli wake wa ndani kitakuwa kimefungamanishwa na UOVU...hapa sasa ndiyo utakuta sadaka ovu ...upendo wa uovu wema wa uovu....manabii waovu...mitume waovu nk
Unaelewa maana ya kuuza na kununua kiunabii kama ilivyoandikwa katika kitabu cha ufunuo?
 
Kwahiyo wewe unadhani waliua nje ya maagizo ya mungu unajua kwanini sauli alichukiwa na mungu moja ya sababu ni kutokutii kuua alimwacha mkuu wa nchi aliyo kuwa wanapigana nayo vita ndipo samweli alikuja kumuua huyo mtu
Hiyo ya Sauli ni kweli, sasa Sauli alishapewa maagizo moja kwa moja kutoka kwa Mungu, ile ilikuwa ni exceptional hivyo huwezi kutumia kisa cha Sauli kuhalalisha kuwa kuua haikuwa dhambi! Na ndiyo maana ilikuwa ukiua nawe ilikuwa unauawa kama sheria ya Torah ilivyosema. Kuhani mkuu alikuwa akiingia kila mwaka mara moja ili kuwaombea watu toba kwa Mungu dhidi ya dhambi.
 
Kwahiyo wewe unadhani waliua nje ya maagizo ya mungu unajua kwanini sauli alichukiwa na mungu moja ya sababu ni kutokutii kuua alimwacha mkuu wa nchi aliyo kuwa wanapigana nayo vita ndipo samweli alikuja kumuua huyo mtu
Wrwe unaijua biblia kwa kusoma na kukariri visa, na siyo kung'amua maudhui hasa ya biblia kama inavyotakiwa.
 
Kama inavyo takiwa ndiyo upotoshaji ...yaani unabii wauongo na mitume wa uongo ...mnadanganyana makanisani ...na ibada zenu za kuombea maiti
 
Mimi ni genius walokole na ujuaji wao huwa wakifika kwangu nawakalisha kama moja hadi wanasema ngoja kwanza tusome biblia upya ....ukweli huu ukristo uliopo leo sio ukristo alio uleta Yesu ni upotovu ulio tukuka mimi naijua biblia kwa asilimia 100 hadi najihofia uenda adhabu yangu ikawa kubwa sana ...maana kuna andiko tena ni qndiko sahihi limeongelea watu wenye kujua ukweli...
Kuna shahe mmoja alinijalibu nilimpiga swali ambalo ajawai kuulizwa toka kuzaliwa na baada ya hapo aligundua upungufu kubwa sana ndani ya uislamu
Hivyo tuliyokaririshwa hayapo kama tulivyo amini katika huu ukristo wa leo? Je ni kweli sabato halisi ni jumamosi ya kalenda hii tutumiayo leo na ilipatikana kwendana na ilivyo sasa?

Kuna mzee aliwahi niambia kama ulivyosema ebu nieleweshe kwanini ukristo huu upo na mashaka maana yeye alinizunguusha kusema hadi kila mmoja alipoondoka.
 
Naijua biblia na msahafu kuliko mtu yoyote wewe amini tu ninacho kuambia .....pia swali lako la mbingu limekosq msingi .... ngoja nikufumbue macho kidogo wakristo wa leo wapo kwenye upotovu mkubwa tena huo upotovu ulisha semwa kwenye maandiko kuhusu kizazi cha mwisho na mimi ni shahidi kwa ninayo yaona ....leo wakristo hawajui hata maana ya amri 10 za mungu hivyo wanazipotosha mfano ukimuuliza mkristo katika amri kumi za mungu jpo amri inayo sema usiue tena hiyo amri ilikuja kupitia mikono ya musa sasa kwanini baada ya hiyo amri musa aliendelea kuua na watakatifu wengine kama daudi samweli nk tena kuua hadi watoto wachanga na vizee ...?
Yah hapo swali lako lina mantiki.
 
We jamaa ni Mwongo bibilia inasema alama ya Mnyama ni Namba ya kibinadamu yaani sio Fumbo. Sasa weww unatwambia namba 666 ni herufi wakati inaeleweka ni 666?

. Mnyama ana jina lenye namba 666.

Ufunuo 13:17 “tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, ispokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.”

Ufunuo 13:18 “Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinaadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.”

Biblia inatuambia kuwa hesabu au namba ya jina la mnyama ni 666

Kanisa la Romani Katoliki hudai kuwa Papa ni kichwa cha kanisa au mwakilishi wa Yesu.

“Maneno yaliyoandikwa katika kofia (miter) ya Papa ni haya, ‘VICURIUS FILII DEI’. ambayo ni ya kilatini kwa ajili ya ‘KASISI WA MWANA WA MUNGU’. Wakatoliki huchukulia kwamba kanisa, ambalo ni jumuiya ya kuonekana, lazima liwe na kichwa cha kuonekana. Kristo, kabla ya kupaa kwake kwenda mbinguni, alimteua M.t. Petro kuwa kama mwakilishi wake…hata hivyo Askofu wa Roma, kama kichwa cha kanisa, alipewa jina ‘KASISI WA YESU.'” –Our Sunday Visitor, (Catholic Weekly) “Bureau of information,” Huntington, Ind., April 18, 1915.

Kwa hiyo “VICARIUS FILII DEI” ndilo jina linalotumiwa na mamlaka ya Upapa na kumthibitisha Papa kama kichwa cha kanisa.

Helufi za kilatini zinaweza kutumika pia kama namba, na siku hizi hujulikana kama “Namba za Kirumi,” na helufi U inaweza pia kutumika kama V.

VICARIVS FILII DEI”

(Kasisi wa Mwana wa Mungu)

V...............................5
I.................................1
C.......................... 100
A..............................0
R,.............................0
I................................1
V.............................5
S.............................0
F..............................0
I................................1
L.............................50
I...............................1
I................................1
D..........................500
E..............................0
I.................................1
Jumla =666

Vicarius inamaanisha, katika nafasi ya
Filii Mwana
Dei Mungu
Hivyo, kanisa la Romani Katoliki linatimiza unabi huu wa hesabu ya mnyama 666 kwa ukamilifu kabisa.

11. Onyo la Mungu kwa wote walio katika kanisa katoliki.

Mungu anaoya vikali sana juu ya wale wote ambao wanashirikiana na mnyama huyu, kama wewe ni mmojawapo unapaswa kuchukua uamuzi sahihi sasa bila kupoteza muda; kwa maana hukumu itakuja juu ya mnyama na yule kahaba (kanisa Katoliki) aliyekaa juu mnyama. Hili ni onyo la mwisho la upendo na la rehema kutoka kwa Mungu.

Ufunuo 14:9-10. “Na mwingine, malaika watatu, akafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake, yeye naye atakunywa katika mvinyo ya gadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.”

Ufunuo 19:20 “Yule mnyama akakamatwa, na yule nabii wa uongo pamoja naye, yeye aliyezifanya hizo ishara mbele yake, ambazo kwa hizo aliwadanganya watu wale walioipokea ile chapa ya huyo mnyama, nao walioisujudia sanamu yake; hao wawili wakatupwa wangali hai katika lile ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti;”

Ufunuo 18:4 “Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amemkumbuka maovu yake…Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemuhukumu ni mwenye nguvu

KARIBU KWA MJADALA.
 
Hivyo tuliyokaririshwa hayapo kama tulivyo amini katika huu ukristo wa leo? Je ni kweli sabato halisi ni jumamosi ya kalenda hii tutumiayo leo na ilipatikana kwendana na ilivyo sasa?

Kuna mzee aliwahi niambia kama ulivyosema ebu nieleweshe kwanini ukristo huu upo na mashaka maana yeye alinizunguusha kusema hadi kila mmoja alipoondoka.
Sabato ilikoma baada ya kuja agano jipya ...kama unaijua vizuri injili ya kweli basi uwezi kuangaika na sabato ya agano la kale ....sababu injili ni zaidi ya sabato ...katika agano la kale Mungu alisema siku sita fanya kazi siku ya saba ni siku ya bwana hivyo msifanye kazi yoyote isipokua ibada zinaweza kufanyika ....sasa utasema kwanini nakuambia kuwa sabato mwisho wake ni baada ya kuja injili ....sababu katika Injili siku zote za maisha yako zinatakiwa kuwa za bwana wala siyo siku moja hivyo injili inamtukuza mungu kuliko torati kwa sababu sabato ya injili ni ya daima.
Katika injili siku zote ni siku za bwana...na Yesu mwenyewe alisema sabato ni kutenda mema yampendezayo mungu siku zote.
 
Sabato ilikoma baada ya kuja agano jipya ...kama unaijua vizuri injili ya kweli basi uwezi kuangaika na sabato ya agano la kale ....sababu injili ni zaidi ya sabato ...katika agano la kale Mungu alisema siku sita fanya kazi siku ya saba ni siku ya bwana hivyo msifanye kazi yoyote isipokua ibada zinaweza kufanyika ....sasa utasema kwanini nakuambia kuwa sabato mwisho wake ni baada ya kuja injili ....sababu katika Injili siku zote za maisha yako zinatakiwa kuwa za bwana wala siyo siku moja hivyo injili inamtukuza mungu kuliko torati kwa sababu sabato ya injili ni ya daima.
Katika injili siku zote ni siku za bwana
Okay sawa nimekuelewa, kwahiyo Ellen White katika hilo katudanganya? Nisieleweke vibaya katika hilo nikiwa na sababu kadhaa moja wapo ni kuwa ukitazama historia ya tangu kuanza kwa madhehebu utagundua Roman Catholic wao ndiyo wa kwanza baadae walianza kutokea waprotestant kama lutheri n.k hawa wote hawakutilia mkazo sana ishu ya ibada ya jumamosi hadi baadae 1863 ilipoanza seventh day Adventist ndiyo ulikuja huo utaratibu sasa wao waligundua nini katika maandiko ili hali biblia aliyefanya mjumuiko wa vitabu kipi kuwepo kipi kisitumiwe ni hao Roman Catholic ?
 
Nimekuambia sabato ya Injili niya siku zote hivyo sisemi kakudanganyeni labda kama mnafuata mtindo wa sabato wa kale hapo mmepiga changa la macho. Mmefanana nq waislamu wao wanakazia dini siku ya mwezi mtukufu tu siku nyingine kwao ni kawaida ....katika injili sabato yake ni ya daima

Pia hayo makanisa yote unayo ya sema ndiyo upotovu wenyewe...yesu siyo msabato wala mkatoliki
 
Nimekuambia sabato ya njili ni yasiku zote hivyo sisemi kakudanganyeni labda kama mnafuata mtindo wa sabato wa kale hapo mmepiga changa la macho. Mmefanana wa waislamu wao wanakazia dini siku ya mwezi mtukufu tu siku nyingine kwao ni kawaida ....katika injili sabato yake ni ya daima
Usikasirike, kumbuka tunapeana elimu mimi sina dhehebu ila nazungukwa na watu wenye hayo madhehebu mara kadhaa huwa tunapeana mawili matatu kama hivi, kumbuka umesema biblia unaifahamu 100% je ni vibaya mimi nisiye na uelewa wa hizo asilimia kuuliza?
 
Mkuu Lwiva kama sijakosea kwenye huu uzi ulisema kuwa ukiwa darasa la saba ukagundua kuwa mungu yupo na ndio ukawa mwisho wako wa kwenda kanisani. Kwanini ilikuwa hivyo wakati makanisa ndio yanahimiza na kufundisha njia zinazompendeza mungu but wewe ukaacha kwenda
 
Back
Top Bottom