Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 5,310
- 7,199
Haya maneno ni ya wa hapa hapa.Ndo kwenu lakini,hata kama umepata nafasi ya kusepa usipaletee dharau,maana ndo pamekutunza mpaka umepata ujanja wa kusepa
Haya maneno ni ya wa hapa hapa.Ndo kwenu lakini,hata kama umepata nafasi ya kusepa usipaletee dharau,maana ndo pamekutunza mpaka umepata ujanja wa kusepa
Haya maneno ni ya mtu aliyeshatembea na kuishi mabara matatu tafauti na nchi zaidi ya 10,so tusichukuliane poa,kama nje tumeshakaa sana lakini bado tukaona aheri nyumbani kwenye vumbi na tope kuliko ugenini kwenye lami mpaka mlangoni.Hata mimi nlikuwa na mentality kama yenu kabla sijapata nafasi ya kutoka.lakini nlipopata nafasi ya kusafisha macho na kukaa nje miaka kadhaa nafsi yangu ikakinai.Ughaibuni pazuri na kuna advantage nyingi mno ukilinganisha na huku kwetu,lakini the fact still remains There is no where like home.Na hakuna sehemu rahisi kutajirika kama afrika ndo maana wachina na wazungu.wanafurika huku.unadhani bakhresa na akina mo hawana uwezo wa kuishi ulaya?Haya maneno ni ya wa hapa hapa.
Unaishi Tanzania ipi mkuu,we unazungumzia passo watu wameanzisha viwanda sababu ya kilimo,unafahamu bei ya ekari moja ya matikiti maji?,Unafahamu mo na matajiri wengi hapa mjini ni wakulima wa muda mrefu?,kilimo cha kisasa kinalipa tena sana tu.Mimi safari yangu ya kwanza kwenda ughaibuni gharama zote zilitokana na kilimo.Kondoomwema! nionyeshe mkulima wa Tanzania japo mmoja tu aliyeweza hata kununua PASSO kwa kuuza mazao yake!! Msimuamini Masanja na stori zake zile, haiwezekani uwe msanii eti utusue kwenye kulima MPUNGA!! Vijana hawa wanatumika sana na Viongozi wao DINI!! Australia (Brisbane) Beibiii!!! Here I Come.
ukifika kule kama vipi tafuta bibi wa kizungu, mpelekee moto wa maana uchukue uraia.
una akili sanaJaribuni kusoma vitabu ili mbadili mtazamo wa maisha. We are now living in an Information Age. Hizi ajira kuna kipindi zitafikia ukomo. Lazima mtafute mbinu za 'kutamani' kujiajiri. Na hii inahitaji mindset overhaul. Otherwise mtazunguka dunia nzima kutafuta kazi. Halafu mnaenda kuajiriwa na mtu mwenye ubongo kama wako
mpaka uwe na uwezo wa kugrade akili za mwenye akili lazima wewe uwe na akili zaidi yake. Je wewe una kipato cha kiasi gani kwa mwezi? wangapi wanajiajiri na wanafanikiwa na kuwa na guarantee ya kusave 2m per month? mim na masters yangu naweza kuwa kweli nahitaji mind overhaul, nimeshaona dalili za njia yangu ni mbaya kustafu kunakuja, kujiajiri siwezi honestly so kwanini nisitafute mwaujiri mwenye pesa nyingi ili hata nikistaafu niweze kuzifaidi?una akili sana
we nenda ukaliwe tigo shaur yako wazungu ni washenzii
Akili matope siku zote huona Negative.Duh tigo tena?
Acha upumbavu wako, nani alikwambia Australia ni nchi ya wazungu, au unaelezea uzoefu wako ulipoenda kwa hao wazungu?we nenda ukaliwe tigo shaur yako wazungu ni washenzii
sawa we nenda uje useme ukweli ukirud i speak by experianceAcha upumbavu wako, nani alikwambia Australia ni nchi ya wazungu, au unaelezea uzoefu wako ulipoenda kwa hao wazungu?
Kumbe unaongea kwa uzoefu uliowahi kuupata, aisee!sawa we nenda uje useme ukweli ukirud i speak by experiance