Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 8,246
- 12,796
Asante mkuu, Kuna wakati huwa najifariji kuwa nitaenda mbinguni kwa kazi hii!Pole ndebile nimehuzunika sana maana hapa nilipo pia manesi wanazalishwa kwa mwanga tochi ya cm
Asante mkuu, Kuna wakati huwa najifariji kuwa nitaenda mbinguni kwa kazi hii!Pole ndebile nimehuzunika sana maana hapa nilipo pia manesi wanazalishwa kwa mwanga tochi ya cm
Hivi bado hujafika Australia?
Tatizo Uncle MAGUkwanini huu mwaka thread za kuzamia nje/ughaibuni zimezidi kuwa nyingi????
kwanini huu mwaka thread za kuzamia nje/ughaibuni zimezidi kuwa nyingi????
Hata mimi nashangaa mkuu
Leo nimepata barua ya cheo ni kuwa Afisa mwandamizi kuanzia Mei 1, 2016. Salary imepanda kwa sh 305,000 toka ile scale ya awali duh!
Wakuu baada ya kumaliza chuo miaka kadhaa na kuhangaika kupata masters degree naona bado future yangu haiko salama ikiwa nikiwa naishi hapa Tz. Kupata mshahara wa 950,0000 na allowance ya 600,000 kila mwezi naona inaishia kuishi maisha ya hand to mouth. Sasa umri unaenda, na hakuna cha maana kinafanyika, na mzee Magu amebana mno hata hakuna deal kabisa, naomba msaada wa ushauri tu kwa wale wenye uzoefu wa Australia, na sio kwingine au kutoa kejeli zisizojenga kwani.
Mpaka nimefikia uamuzi huo wa kwenda huko kwa wazungu kwa sababu nina jirani yangu hapa alikwenda akasoma (Bachelor of nursing na akawa registered nurse), na bahati nzuri akapata PR na anafanya kazi ya nursing salary yake kwa saa ni aud 59 (90,000 tsh) na weekend (sunday) ni aud 118/hr (180,000 tsh). Expenditure zake ni aud 500/week rent, groceries ni aud 150-200/week, gas aud 70-80/week.
Haki ya nani huyu dada anajenga bonge la ghorofa hapa jirani, pamoja na kuwa amenipa clues tu chache na kuona positivity yake bado naomba michango yenu.
Asante sana, nikifanikiwa nitarejea kutoa ushuhuda
Vp bado mpango wa kwenda upo pale pale as baada ya cheo umeghairi utumikie kwanza cheo kipya mkuu ?Leo nimepata barua ya cheo ni kuwa Afisa mwandamizi kuanzia Mei 1, 2016. Salary imepanda kwa sh 305,000 toka ile scale ya awali duh!
Mmh tuhakikishie.Kwa sasa niko Australia... Hebu jaribu Nchi nyingine... huku hakufai.. Kwanza Visa zake ni ngumu sana kupata.. Pia Kazi kupata ni Shida mno.
Mkuu kupitia post yako nimeamini usemi usemao binadamu tumeumbwa kusahau,kutamani na kukosea. Hivi kwani??? Maisha ni mashindano? kwa kuwa mpaka leo mimi sijasikia bingwa wa maisha, si Dangote, wala Bakhresa wote bado wanatafuta, Hata wewe Hutaweza kuwa bingwa wa maisha hata upewe miaka 100 ya kuishi,
Huyo Dada hujui ametafuta aliyonayo kwa muda gani, hujui Nani alikuwa mbele yake hasa ukizingatia ni mtoto wa kike. leo unataka kushindana naye!!!! Nisawa lengo langu siyo kukuvunja moyo la hasha, ila kumbuka kuwa mafanikio ya maisha niwewe kupata unachokihitaji na siyo walichonacho wengine, Na ukiomba omba unachostahili siyo unachotaka.
Anyway nakushauri usianzie mbali sana kwa kuiga, anzia Botswana, Halafu upunguze tamaa pesa unayolipwa ni nyingi sana, Tatizo lako Maisha kwako mashindano.
Hahahahaaaa! Umenikumbusha mbali sana! 21 years ago nikiwa darasa la Tano, mwalimu alikuwa anauliza swali kwa kila mwanafunzi anapenda kusomea kazi gani! Jamaa mmoja akasema anapenda kuwa nesi! Aisee, darasa zima tulimcheka balaa ukawa utani mpaka tunamaliza darasa la saba jamaa tunamuita nesi! But in fact ulikuwa utoto tu!Bongo kua nesi ni aibu kwa mwanaume[emoji12]
Mkuu, hebu fafanua vizuri!mkuu kama kweli unataka utusue maisha tafadhali nenda katika nchi zifuatazo Shelisheli Ipo Africa,st Vincent And Grenadies,british Virgin Island Zipo Marekani Kaskazin Bila Kusahau Cape Verde Nakuhakikishia Ukirud Baada Ya Miaka Miwili Kama Hujajenga Magorofa Matatu Kwa Mpigo Mimi Fala..
Kwa sasa niko Australia... Hebu jaribu Nchi nyingine... huku hakufai.. Kwanza Visa zake ni ngumu sana kupata.. Pia Kazi kupata ni Shida mno.
Hahahahaaaa! Umenikumbusha mbali sana! 21 years ago nikiwa darasa la Tano, mwalimu alikuwa anauliza swali kwa kila mwanafunzi anapenda kusomea kazi gani! Jamaa mmoja akasema anapenda kuwa nesi! Aisee, darasa zima tulimcheka balaa ukawa utani mpaka tunamaliza darasa la saba jamaa tunamuita nesi! But in fact ulikuwa utoto tu!
Mkuu mbona unaongea kwa kuuhuzunika??hata mimi nikipata mwanya nitaondoka tu Mungu akipenda tukirudi tuwakute.Live and die in Africa nendeni mtatukuta mkirudi..sisi ni wa matopeni.
Nilisikia unaaminika saana ofisini kwako kana kwamba wamekukabidhi funguo za choo.
Nilijua barua ya cheo haiepukiki kwa bidii ile.