Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

Nataka kutoa fundisho kwa huyu Mzee

mkeo amekuambia kua mzee X anamsumbua au sio? bro the thing is mkeo hajamuelewa tuu huyo mzee sasa wewe mfanyie tukio mzee wa watu ipo siku UKIKUA ukawaelewa wanawake vizuri utakua unatuliza mihemko. Naongea hivi by experience sababu mimi pia aliekua mke wangu alinifuata akaniambia mzee fulani ananitaka nikaona ni ujinga nikapotezea na badae nikaja kujua anatembea na njemba kama 5 hivi at same locality na sikuwahi kuambiwa kua wanamsumbua, kila la kheri mzee.
 
Huyu ni gaidi,amemkana katakata.
Anaulimi mtam sana,ametumia kauli "Tam Tam " kumkana,Amelia sana na kumpigia simu mbele yangu japo nilimkataza, "eti mpenzi wangu amekamata sms zetu,hivi mimi nina mahusiano na wewe?"

Kuna wengine wanne amewakataa pia,mmoja ni mfanyakazi mwenzie,anamjulia hali yeye kakazana kumwita dear,kila asubuh anam-chartisha kumjulia hali.

Ukitumia moyo inakula kwako.hapa ni akili mtu wangu.

Anyway nitafungua uzi wangu,nitaweka screen shot zote,maneno makali nitaya-hide.
Ambition plus

Pole sana Kiongozi hakika ulitendwa sana kupita kiasi kwako itakugharimu sana kuamini in LOVE AGAIN

Maana ulikua kwenye mahusiano na kubwa la Magaidi mwenye two faces

Ila hatokaa apate amani kwenye maisha yake kwa alichokufanyia
 
Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.

Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja.

Ni mwanamke tunaependana sana japo mimi nimemuacha kama miaka mitano ki umri. Tabia yake na mitazamo yake ni vitu vilivyonishawishi kumuoa.

Leo ameamua kuniambia kuwa mume wangu nakupenda sana na sipo tayari kuharibu ndoa yangu nakupenda na naomba nikwambie ukweli.

Nimechoka na usumbufu wa huyu Mzee x, amekuwa ananitongoza na kunitumia meseji zake za kijinga jinga na nimeshawaambia kuwa unatambua kuwa mi ni mke wa mtu, na wewe una mkeo, umemsikia mume wangu amekuja kumtongoza mkeo? Kwanini unataka kuniharibia ndoa yangu? Hizi ni ujumbe kwenye simu ya mke wangu.

Na leo kapiga simu mke wangu kaweka sauti kubwa Ili nimsikie vizuri, na akaniambia wewe angalia hata CCTV camera, amekuwa anakuja hapa nyumbani. Nimemjibu mke wangu niachie hilo suala, itakuwa funzo hapa mtaani kwetu. Nimemwambia mke wangu asante kwa ujumbe, sitaua ila itakuwa fundisho juu yake na litaacha doa kwenye mwili wake.

Mimi simu yangu sijaweka password na mke wangu anaitumia muda wotewote na nilishamwambia ukiona mwanamke ananiletea ukaribu wa kimapenzi malizana naye nitakupa ushirikiano. Nampenda sana mke wangu na sijaona mwanamke wa kunifanye niweze kumsaliti mke wangu.

Huyu Mzee nimepanga haya yafuatayo dhidi yake;

1. Kupanga na mke wangu afanye kama amekubali ili aje mpaka ndani chumbani nimkute chumbani Ili nimvunje mguu na mikono yote miwili, ushahidi ni CCTV camera itaonyesha kila kitu, maana maana nina camera ambazo ni za siri zinazooneka na zisizoonekana kiurahisi, wazee wa misheni ngumu wananielewa.

2. Nimwekee mitego ardhini ya kimesheni ajimalize yeye mwenyewe, asubuhi polisi waje wafanye uchunguzi wa tukio maana nitakuwa kazini na kupigiwa simu kurudi nyumbani kwa tukio litalomkuta[emoji1][emoji1].

3. Nitumie tu busara kwenda kumwambia acha hii tabia itakugarimu.
Password utaweka tu mkuu, ni suala la muda tu.
Pia mkeo amewezaje kumpa namba huyo mzee, labda cha kukumbusha tu mkeo anakuambia habari za wale aliowakatalia ila wale aliowakubalia au atakaowakubalia hatakuambia.

Ukiona mwanamke anakuambia waliomtongoza jua amegundua kwamba ndizo habari unazopenda kuzisikia, na pia anajiwekea ulinzi ili hata siku nyingine ukisikia habari zake ajitetee kuwa wanamsingizia au umemfikiria vibaya mbona kila anayemtongoza anakuambiaga, kuwa makini anakuandaa kwa ajili ya baadae.

Kikubwa hapo mwambie asikueleze juu ya wanaume wanaomtongoza, kwasababu uwezo wa kuwakatalia yeye kama yeye anao sio mpaka wewe umsaidie.

Na pia usikubali akueleze hayo mambo atakukamata kifikra na utakuwa zuzu kwake na atakuumiza na kukuletea madhara.

Asubuhi njema!

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.

Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja.

Ni mwanamke tunaependana sana japo mimi nimemuacha kama miaka mitano ki umri. Tabia yake na mitazamo yake ni vitu vilivyonishawishi kumuoa.

Leo ameamua kuniambia kuwa mume wangu nakupenda sana na sipo tayari kuharibu ndoa yangu nakupenda na naomba nikwambie ukweli.

Nimechoka na usumbufu wa huyu Mzee x, amekuwa ananitongoza na kunitumia meseji zake za kijinga jinga na nimeshawaambia kuwa unatambua kuwa mi ni mke wa mtu, na wewe una mkeo, umemsikia mume wangu amekuja kumtongoza mkeo? Kwanini unataka kuniharibia ndoa yangu? Hizi ni ujumbe kwenye simu ya mke wangu.

Na leo kapiga simu mke wangu kaweka sauti kubwa Ili nimsikie vizuri, na akaniambia wewe angalia hata CCTV camera, amekuwa anakuja hapa nyumbani. Nimemjibu mke wangu niachie hilo suala, itakuwa funzo hapa mtaani kwetu. Nimemwambia mke wangu asante kwa ujumbe, sitaua ila itakuwa fundisho juu yake na litaacha doa kwenye mwili wake.

Mimi simu yangu sijaweka password na mke wangu anaitumia muda wotewote na nilishamwambia ukiona mwanamke ananiletea ukaribu wa kimapenzi malizana naye nitakupa ushirikiano. Nampenda sana mke wangu na sijaona mwanamke wa kunifanye niweze kumsaliti mke wangu.

Huyu Mzee nimepanga haya yafuatayo dhidi yake;

1. Kupanga na mke wangu afanye kama amekubali ili aje mpaka ndani chumbani nimkute chumbani Ili nimvunje mguu na mikono yote miwili, ushahidi ni CCTV camera itaonyesha kila kitu, maana maana nina camera ambazo ni za siri zinazooneka na zisizoonekana kiurahisi, wazee wa misheni ngumu wananielewa.

2. Nimwekee mitego ardhini ya kimesheni ajimalize yeye mwenyewe, asubuhi polisi waje wafanye uchunguzi wa tukio maana nitakuwa kazini na kupigiwa simu kurudi nyumbani kwa tukio litalomkuta[emoji1][emoji1].

3. Nitumie tu busara kwenda kumwambia acha hii tabia itakugarimu.
Aiiiiiiiiiiiiiii, hivi akili za wanawake unazijua? Ati simu yake uko nayo huru? Unajua laini yake ya siri?

Usitafure ugonvi kwa wivu wa kuambiwa. Ukiona mke kakwambia huyo mzee jua kuna kijana mwingine anamfichia siri ili uwe busy na mzee.

Cha kufanya kaa kimia kwa sasa mfatilie pole pole bila kujua. mwambie amkanye huyo mzee na wanalizane..

Kwa nini nasema hivi? Coz huyu mzee hawezilazimisga mkeo kwa njia yeyote so ana uwezo wa kumaliza hiyo shida mwenyewe kama kama kweli anaipenda ndoa yake.

Hili swala linyamazie miezi mitatu utuletee hapa mrejesho.
Ni mawazo yangu tuu.
 
Huyo mkeo lazima awe Mpare au Msingida anyway ongea na jamaa mtaelewana ila wakati wa kuongea usiweke maneno mengi machache TU tena machache sana inaweza kuwa sentensi Moja tu
Kaa mbali na familia yangu usiseme mke wangu tumia neno familia
 
Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.

Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja.

Ni mwanamke tunaependana sana japo mimi nimemuacha kama miaka mitano ki umri. Tabia yake na mitazamo yake ni vitu vilivyonishawishi kumuoa.

Leo ameamua kuniambia kuwa mume wangu nakupenda sana na sipo tayari kuharibu ndoa yangu nakupenda na naomba nikwambie ukweli.

Nimechoka na usumbufu wa huyu Mzee x, amekuwa ananitongoza na kunitumia meseji zake za kijinga jinga na nimeshawaambia kuwa unatambua kuwa mi ni mke wa mtu, na wewe una mkeo, umemsikia mume wangu amekuja kumtongoza mkeo? Kwanini unataka kuniharibia ndoa yangu? Hizi ni ujumbe kwenye simu ya mke wangu.

Na leo kapiga simu mke wangu kaweka sauti kubwa Ili nimsikie vizuri, na akaniambia wewe angalia hata CCTV camera, amekuwa anakuja hapa nyumbani. Nimemjibu mke wangu niachie hilo suala, itakuwa funzo hapa mtaani kwetu. Nimemwambia mke wangu asante kwa ujumbe, sitaua ila itakuwa fundisho juu yake na litaacha doa kwenye mwili wake.

Mimi simu yangu sijaweka password na mke wangu anaitumia muda wotewote na nilishamwambia ukiona mwanamke ananiletea ukaribu wa kimapenzi malizana naye nitakupa ushirikiano. Nampenda sana mke wangu na sijaona mwanamke wa kunifanye niweze kumsaliti mke wangu.

Huyu Mzee nimepanga haya yafuatayo dhidi yake;

1. Kupanga na mke wangu afanye kama amekubali ili aje mpaka ndani chumbani nimkute chumbani Ili nimvunje mguu na mikono yote miwili, ushahidi ni CCTV camera itaonyesha kila kitu, maana maana nina camera ambazo ni za siri zinazooneka na zisizoonekana kiurahisi, wazee wa misheni ngumu wananielewa.

2. Nimwekee mitego ardhini ya kimesheni ajimalize yeye mwenyewe, asubuhi polisi waje wafanye uchunguzi wa tukio maana nitakuwa kazini na kupigiwa simu kurudi nyumbani kwa tukio litalomkuta[emoji1][emoji1].

3. Nitumie tu busara kwenda kumwambia acha hii tabia itakugarimu.
Siku akianza kukwambia aliowakubalia baada ya kumtongoza, uje kutuambia.

Huyo mwanamke anakusoma akili na kukufanya umuamini ili akianza kuchepuka usishtuke. That is Trust Build up
 
Ndoa yako Ina muda Gani tuanze na Hilo....??

Mfanyie umafia mpk akiona mke wa mtu aogope na kutetemka.....

Cc. MKE WA MTU NI SUMU_LWP MAJITU
 
Mwaka 2019 nilileta simu yangu kwa fundi kariakoo aina ya Samsung (tablet),,yule fundi akanidhulumu simu yangu,
Jamaa alikuwa fundi mzoefu na maarufu pale kariakoo ,nilichukua namba ya simu ya fundi

Mwaka 2021 nikapata safari ya kwenda Simba [emoji881] sc day,,nikapiga ile namba ya fundi akapokea mwanamke akajitambulisha kuwa mumeo yuko kazin na ile namba mbona ni yake na si ya mume wake? Nikamwambia nitumie namba yake,akaituma nikaongea nae jamaa alishasahau huo uhuni alionifanyia mwaka 2019

Nikasema uyu namlipa kupitia kumla mke wake,,uzuri ilikuwa pisikali na imenizidi miaka kama 3+,,nikaendelea kuchati na uyo dada adi nafka dar ameshakaa kwenye mstari nikamuita eneo ¥ akaja.Nilichomfanya ni kisasi kikubwa sana

Kama cha utopolo dhidi ya river United

Ndugu yngu acha kuamini mwanamke kiasi icho,siyo mama yako uyo,,kausha broo
 
Wanawake tunatongozwa kila siku unatafuta kesi za bure ongea nae tu pia ongea na mkeo aache kutoa namba yake ajieshimu
 
Aliyesema mke wa mtu sumu hakukosea.

Ni hivi, nina miezi miwili toka nioe tena ndoa ya kanisani, mke wangu tunazungumza lugha moja (lugha ya mama) nikiwa na maana sisi wote ni kabila moja.

Ni mwanamke tunaependana sana japo mimi nimemuacha kama miaka mitano ki umri. Tabia yake na mitazamo yake ni vitu vilivyonishawishi kumuoa.

Leo ameamua kuniambia kuwa mume wangu nakupenda sana na sipo tayari kuharibu ndoa yangu nakupenda na naomba nikwambie ukweli.

Nimechoka na usumbufu wa huyu Mzee x, amekuwa ananitongoza na kunitumia meseji zake za kijinga jinga na nimeshawaambia kuwa unatambua kuwa mi ni mke wa mtu, na wewe una mkeo, umemsikia mume wangu amekuja kumtongoza mkeo? Kwanini unataka kuniharibia ndoa yangu? Hizi ni ujumbe kwenye simu ya mke wangu.

Na leo kapiga simu mke wangu kaweka sauti kubwa Ili nimsikie vizuri, na akaniambia wewe angalia hata CCTV camera, amekuwa anakuja hapa nyumbani. Nimemjibu mke wangu niachie hilo suala, itakuwa funzo hapa mtaani kwetu. Nimemwambia mke wangu asante kwa ujumbe, sitaua ila itakuwa fundisho juu yake na litaacha doa kwenye mwili wake.

Mimi simu yangu sijaweka password na mke wangu anaitumia muda wotewote na nilishamwambia ukiona mwanamke ananiletea ukaribu wa kimapenzi malizana naye nitakupa ushirikiano. Nampenda sana mke wangu na sijaona mwanamke wa kunifanye niweze kumsaliti mke wangu.

Huyu Mzee nimepanga haya yafuatayo dhidi yake;

1. Kupanga na mke wangu afanye kama amekubali ili aje mpaka ndani chumbani nimkute chumbani Ili nimvunje mguu na mikono yote miwili, ushahidi ni CCTV camera itaonyesha kila kitu, maana maana nina camera ambazo ni za siri zinazooneka na zisizoonekana kiurahisi, wazee wa misheni ngumu wananielewa.

2. Nimwekee mitego ardhini ya kimesheni ajimalize yeye mwenyewe, asubuhi polisi waje wafanye uchunguzi wa tukio maana nitakuwa kazini na kupigiwa simu kurudi nyumbani kwa tukio litalomkuta[emoji1][emoji1].

3. Nitumie tu busara kwenda kumwambia acha hii tabia itakugarimu.
Una uhakika gani mkeo hajaliwa na hiyo mzee?
 
metumia kauli "Tam Tam " kumkana,Amelia

Ukitumia moyo inakula kwako.hapa ni akili mtu wangu.
Mchunguze kwa makini anayelia sana msibani, nshakutana na kilizi afu kumbe jizi la mapenzi, nilimhurumia kwa muda ila yakanishinda nlishtuka anatafuta sympathy.

I'm sorry my son the fault is your mother's, one day will reunit for sure.

Bila kutumia akili unalo, coz ukitumia moyo utapata magonjwa ya moyo na mwisho utastop mapigo. Hawa viumbe kama wanalaana ya asili, bado nasoma agano jipya ikiwezekana niishi maisha aloishi yesu kwa huu umri nimebakiza, wallah!
 
Back
Top Bottom