Ambition plus
Akiiiii am speechless [emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Hii imenifunza pakubwa sana..eeh
Miaka minne..yaan 4 good year’s? Aisee huyo ni Professional Prostitute
Mbona kwa hiyo chats tu anaonyesha ni Malaya aliekubuhu ameoza hafai
Uwiiiiiii yaan ungeoa bomu [emoji378] [emoji378] [emoji378]lingekulipukia anytime
Ila siku zote MWENYEZI MUNGU hamfichi Mnafki ata siku 1 ataku ectia wee lakin kuna siku 1 tu utapata kuyajua yote
Dah ivi hukulazwa kweli? Ulikua kwenye wakati gani Kiongozi? Yaan I can feel the pains you have undergone through
Pole sana jaman..then ulipomkata ivyo alikua kwenye situation gan? Alijiweza ata kusema chochote kile? O.M.G[emoji33] [emoji33] [emoji33]