mgange hussein
Senior Member
- Sep 10, 2012
- 159
- 43
Naomba nielekezwe jinsi ya ku delete topic niliyochangia mawazo tafadhali mimi nimeshindwa kujua jinsi ya kufuta.Nitashukuru ndugu zangu.
Wasiliana na moderator atakusaidia, wewe mwenyewe huwezi kuiondoa wakati imeshanatana huna kisu kwenye ala cha kuchomoa ili mnato ubanduke.Naomba nielekezwe jinsi ya ku delete topic niliyochangia mawazo tafadhali mimi nimeshindwa kujua jinsi ya kufuta.Nitashukuru ndugu zangu.
kama unatumia komputer ni rahis , chini ya post uliyochangia kuna sehemu wameandika edit post, click hapo, then utaenda sehemu ambayo utaweza ku-idelete.
hiyo ni kwa post, si thread