Naombeni taarifa za UVUMI kilosa

Nebuchadneza

JF-Expert Member
Oct 6, 2023
415
1,032
Habari wakuu,natumaini jumapili imekaa vyema kwenu.
Sasa ndugu zangu nimekuja kwenu tena,nina shida ya kupajua vyema UVUMI morogoro,naomba kwa anayepajua vyema atupe taarifa za muhimu,maana nataka niende huku kulima,sasa nataka kujua mazao gani yanatoka sana,maisha ya huko,chumba bei gani?? Na maujanja yote ya kuishi huko UVUMI KILOSA natanguliza shukurani kwenu wote
 
Kunaitwa mvumi ni kuzuri sana ,ardh inautajiri wa rutuba maana iko bonden hivo mara kwa mara mto unaleta ardh mpya kutoka makwambe na milima ya gongwe,kuhusu bei ya chumba inakua kawaida maana ni kijijini

KUHUSU KILIMO NA MAZAO YANAYO KUBALI HUKO
1. Mazao yote unayo yajua wew yanakubari isipokua usije kujiroga ukapanda njugu
2 .napafaham vizuri mvumi maana nimeishi miaka 10 kijiji cha msowero na mpaka leo naishi Dar. Lkn bado shughuli zangu za kilimo nafanyia huko

Unapoenda hakikisha ukutane na wenyeji wastaarabu maana unaweza kununua shamba kumbe lipo kwenye njia ya mto maana mito ya huko mara kwa mara inahama!
 
Safi sana
 
Asante nimeipenda hii
 
Mtoa mada, unamaanisha Mvumi na sio Uvumi. Mvumi ni eneo la mnada hapo Kilosana huwa lina siku maalumu kabisa. Wanyeji wanafahamu zaidi siku ya mnada.
 
Back
Top Bottom