Nataka kufuta new topic.

mgange hussein

Senior Member
Sep 10, 2012
159
43
Naomba nielekezwe jinsi ya ku delete topic niliyochangia mawazo tafadhali mimi nimeshindwa kujua jinsi ya kufuta.Nitashukuru ndugu zangu.
 
Naomba nielekezwe jinsi ya ku delete topic niliyochangia mawazo tafadhali mimi nimeshindwa kujua jinsi ya kufuta.Nitashukuru ndugu zangu.
Wasiliana na moderator atakusaidia, wewe mwenyewe huwezi kuiondoa wakati imeshanatana huna kisu kwenye ala cha kuchomoa ili mnato ubanduke.
 
kama unatumia komputer ni rahis , chini ya post uliyochangia kuna sehemu wameandika edit post, click hapo, then utaenda sehemu ambayo utaweza ku-idelete.
 
click edit futa maneno yote andika neno jengine kama nothing wakati unasubiri moderetor afute
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom