Nataka niagize simu ya matumizi Kwa Alibaba

homeboy41

Member
Oct 20, 2020
8
16
Habari ndugu zangu wana jf.
Nataka niagize simu aina ya Googe pixel 5 matumizi yangu binafsi Kwa njia ya Alibaba.
Mwenye ujuzi na hili namba anielekeze asee Ili nisipigwe na kitu kizito.
Asanteni nipo nasubria mawazo yenu.
 
Alibaba sio website sahihi kuagiza item moja.

Iwapo ungehitaji mfano 100pcs, basi alibaba ni site sahihi.

  • Kwa kuwa unahitaji simu moja tumia huu mtandao aliexpress.com
AliExpress mbona sijawahi kuona wanauza simu????
Me Huwa naona tu wanauza accessories za simu
 
Ni kweli, AMAZON huwa naitumia sana.

Ila sasa,

Amazon sio website sahihi iwapo bajeti ya mhusika ni ndogo.
  • Sababu | Shipment cost ni kubwa
  • Item ikifika lazima itafuata zile taratibu zote za clearance + Tozo/VAT
Iwahi kabla hawajaipa codes number
 
Googe pixel 5
AliExpress mbona sijawahi kuona wanauza simu????
Link hii hapa: https://www.aliexpress.com/w/wholes...?g=y&SearchText=google+pixel+5&bids=200003667

Picha:
1706340059531.png


Dokezo:
NB: Kwa wale wenye mizigo mikubwa na wanahitaji kuchukua mzigo ALIBABA dot com ila wanahofia kodi, basi ufumbuzi ninao, na utaletewa mzigo wowote bila kodi. NB: Hakikisha order yako inakuwa ni ya zaidi ya $1,000 .
 
Habari ndugu zangu wana jf.
Nataka niagize simu aina ya Googe pixel 5 matumizi yangu binafsi Kwa njia ya Alibaba.
Mwenye ujuzi na hili namba anielekeze asee Ili nisipigwe na kitu kizito.
Asanteni nipo nasubria mawazo yenu.
Google pixel 5 kwa Alibaba ni feki, og agiza ebay au amazon
 
Back
Top Bottom