Naomba connection nahitaji kuhama Tanzania

Kinumbo

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,742
4,932
Wakuu kwa madhira yanayo endelea ndani ya nchi hii nimeona bora nipakimbie tu. Jamaa hawajali kuhusu sisi wana tufanya vile wanataka. Sio sawa kabisa, mi nimeshindwa kuvumilia hiyo hali kila uchwao kwahiyo nimeona bora niondoke zangu kwenda nchi nyingine.

Mwenye connection na moja ya nchi hizi naomba anisaidie tafadhali. Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, Congo, Sudan, Ethiopia, na Msumbiji nataka nikajilipue kwenye moja ya nchi hizo. Pia unaweza nishauri tofauti na hizo wapi kwingineko kuna pako vizuri kwa ajili ya kujilipua.

Wakuu yeyote mwenye amejaliwa kutembea hizo nchi na kuzifahamu vizuri naomba connection.
 
Nchi ulizo taja sikutarajia kabisa. Yaani ukajilipue rwanda? Huko nako kuna nini cha maana zaidi ya hapa TZ? Sasa hapo napo panahitaji connection? Sehemu ya kuvuka na gari usingekuja kuomba connection humu. Nenda tu mikoa jirani tumia hata njia za miguu kuvuka. Cha msingi uwe na kianzio
 
Usikurupuke! Fanya hivi:
Nyenda Rwanda, ukae kama wiki moja au mbili hivi ukiyasoma mazingira kujua fursa zilizopo. Fanya hivyo kwa nchi zingine zote. Baada ya hapo, ufanye maamuzi kulingana na ulichokibaini. Angalia mahitaji au matatizo waliyo nayo unayoweza kuwatatulia. Tatizo la mwenzako ni fursa kwako.
 
Mkuu lengo langu mi nitoke hii Tanzania, sina utaalamu kwa masuala ya kuvuka mpaka wa Tanzania. Ndio maana nikaandika unaweza pia nishauri kwingine pa kwenda tofauti na hizo nchi. Karibu
Nchi ulizo taja sikutarajia kabisa. Yaani ukajilipue rwanda? Huko nako kuna nini cha maana zaidi ya hapa TZ? Sasa hapo napo panahitaji connection? Sehemu ya kuvuka na gari usingekuja kuomba connection humu. Nenda tu mikoa jirani tumia hata njia za miguu kuvuka. Cha msingi uwe na kianzio
 
Pengine mleta maada amemanisha connection ya sehemu pa kufikia na mishe ya kuanza kufanya siyo tu namna ya kufika kati ya nchi hizo.

Nimependa attitude yake amependa kuanza kwanza na nchi za karibu ili pengine apate experience ya kuishi nje ya nchi.

Mzee nashauri kidogo Congo na Zambia, lakini nchi zilizobaki kati ya hizo ulizotaja ni photocopy ya Tanzania tu. Pengine ungejichanga vema ukapata pesa ya pass, visa na nauli ukajitupa nchi za Uarabuni kuna unafuu kiutafutaji. Kuna vijana watatu nimewatupa Dubai miezi miwili imepita wakapata kazi ya malipo ya Dhm 3000 Sawa na 1,900,000/= kwa mwezi lakini wanalalama malipo kidogo.

Kila jema mzee baba katika utafutaji.
 
Hao vijana wanastahili kuchapwa bakora za makalioni mpaka yapasuke makalio
 
Pengine mleta maada amemanisha connection ya sehemu pa kufikia na mishe ya kuanza kufanya siyo tu namna ya kufika kati ya nchi hizo.

Nimependa attitude yake amependa kuanza kwanza na nchi za karibu ili pengine apate experience ya kuishi nje ya nchi.

Mzee nashauri kidogo Congo na Zambia, lakini nchi zilizobaki kati ya hizo ulizotaja ni photocopy ya Tanzania tu. Pengine ungejichanga vema ukapata pesa ya pass, visa na nauli ukajitupa nchi za Uarabuni kuna unafuu kiutafutaji. Kuna vijana watatu nimewatupa Dubai miezi miwili imepita wakapata kazi ya malipo ya Dhm 3000 Sawa na 1,900,000/= kwa mwezi lakini wanalalama malipo kidogo.

Kila jema mzee baba katika utafutaji.

Mkuu kama hautojali tafadhali funguka hapa hii njia ya maisha Arabuni hapo, tafadhali. Shukrani
 
Wakuu kwa madhira yanayo endelea ndani ya nchi hii nimeona bora nipakimbie tu. Jamaa hawajali kuhusu sisi wana tufanya vile wanataka. Sio sawa kabisa, mi nimeshindwa kuvumilia hiyo hali kila uchwao kwahiyo nimeona bora niondoke zangu kwenda nchi nyingine.

Mwenye connection na moja ya nchi hizi naomba anisaidie tafadhali. Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi, Congo, Sudan, Ethiopia, na Msumbiji nataka nikajilipue kwenye moja ya nchi hizo. Pia unaweza nishauri tofauti na hizo wapi kwingineko kuna pako vizuri kwa ajili ya kujilipua.

Wakuu yeyote mwenye amejaliwa kutembea hizo nchi na kuzifahamu vizuri naomba connection.
Nimekuunga mkono saf sana. Tanzania ni kuzimu. Ila hzo nch umetaja sikushauri. Imgia uarabuni kisha tageti kuingia dunia ya 1. Bora uniambie uende Namibia au botswana au mauritius au visiwa vya mayotte
 
Maisha huwa ni popote mkuu, hizo nchi ulizotaja unaweza kwenda hapo ukaja kufanikiwa katika maisha yako, ijapokuwa watu watakukatisha tamaa kwakukumbia ni bora ubaki nyumbani, wewe sikiliza moyo wako vile unavyotaka

Mipaka ya mafanikio ni akili yako ndio inajiwekea mwenyewe, wewe toka hapo nenda popote dunia, kila mahali ni salama pakuishi kama ukiamua kuishi kiusalama

South Africa wabongo walioko humu wanasema sio salama kuishi na kibiashara, waulize je wanafanya shuhuli za kiusalama na kihalali? Hili jibu hawawezi kukupa..

"Mummy need house baby need shoes"
 
Vijana wa Kenya na Malawi wanajiandikisha kwenda Israeli kwenye kilimo na mshahara mnono, wewe unataka kwenda huko wakati wenyenchi wamekimbia! Nenda ubalozi wa Israeli kajiandikishe, changamka.
 
Shukrani sana ndugu, wewe umenielewa zaidi. Ujue inshu yakutoka kwenda hizo nchi sio kwamba haiwezekani, hapana inawezekana vizuri tu. Ila connection yangu nilitaka nikifika huko nijue nifikia wapi katika mazingira rafiki na angalau mishe za kupiga huko. Asante sana kwa kunielewa.

Mkuu jambo lingine naomba sana nami unifanyie connection huko Uarabuni, hiyo 1.9M kwa mwenzi kwangu inanitosha sana. Mkuu niko serious kabisa, nahitaji kutoka humu Tanzania. Mkuu naomba unifanyie mpango tafadhali.
Pengine mleta maada amemanisha connection ya sehemu pa kufikia na mishe ya kuanza kufanya siyo tu namna ya kufika kati ya nchi hizo.

Nimependa attitude yake amependa kuanza kwanza na nchi za karibu ili pengine apate experience ya kuishi nje ya nchi.

Mzee nashauri kidogo Congo na Zambia, lakini nchi zilizobaki kati ya hizo ulizotaja ni photocopy ya Tanzania tu. Pengine ungejichanga vema ukapata pesa ya pass, visa na nauli ukajitupa nchi za Uarabuni kuna unafuu kiutafutaji. Kuna vijana watatu nimewatupa Dubai miezi miwili imepita wakapata kazi ya malipo ya Dhm 3000 Sawa na 1,900,000/= kwa mwezi lakini wanalalama malipo kidogo.

Kila jema mzee baba katika utafutaji.
 
Shukrani sana kwa ushauri wako ndugu, hii Tanzania ni wachache sana wananemeeka nayo tu. Wengine sisi nikama wasindikizaji ndio maana nataka kutika, mkuu kama una connection huko Uarabuni naomba tafadhali. Nielekeze tu nifanye nini ili niwe tayari kisha nijilipue.
Nimekuunga mkono saf sana. Tanzania ni kuzimu. Ila hzo nch umetaja sikushauri. Imgia uarabuni kisha tageti kuingia dunia ya 1. Bora uniambie uende Namibia au botswana au mauritius au visiwa vya mayotte
 
Mkuu shukrani sana kwa maneno yako mazuri, mkuu we uko south?
Maisha huwa ni popote mkuu, hizo nchi ulizotaja unaweza kwenda hapo ukaja kufanikiwa katika maisha yako, ijapokuwa watu watakukatisha tamaa kwakukumbia ni bora ubaki nyumbani, wewe sikiliza moyo wako vile unavyotaka

Mipaka ya mafanikio ni akili yako ndio inajiwekea mwenyewe, wewe toka hapo nenda popote dunia, kila mahali ni salama pakuishi kama ukiamua kuishi kiusalama

South Africa wabongo walioko humu wanasema sio salama kuishi na kibiashara, waulize je wanafanya shuhuli za kiusalama na kihalali? Hili jibu hawawezi kukupa..

"Mummy need house baby need shoes"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom