Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,546
- 22,980
Eeeh wewe sasa kilichobaki ni uniue tu, majukumu yote siyawezi mieMtag mzanzibari nimuone 😀
Eeeh wewe sasa kilichobaki ni uniue tu, majukumu yote siyawezi mieMtag mzanzibari nimuone 😀
Nioe mara kumi...uoe uache wenge nawewe
Achana na huyo ms r... I told you staki niongee mengi hapaIshakua jau tena kama wewe upo 😀
unataka kuolewa sasa si ndioNioe mara kumi...
Kwanza mi kuoa staki nataka mpaka nipate mshangzi wa kunilea
Hamna sk hiz yako advancedSasa mpaka wewe ndio uyafindishe ili yaendane na prompts zako si kazi mara mbili
Dah yani na kaz nakuwaga speechlesskaka hadi kwa AI hujui useme nini, sasa kwa dem si ndio hutaongea
oya ujue m nazeekea nyumbani,,hebu mwache ajilengeshe nimfie😂😂😂 mazimaAchana na huyo ms r... I told you staki niongee mengi hapa
sasa we mwenyewe huoni hutateseka kabisahapo nitakuwa sikuseduce nitakua naokoa jahazi asee
Kuna dili kigezo uwe na mke/mchumbaHivi hii ni aina nyingne ya biashara huko daslam au naona kama kuna boom la kutafta marafiki na wapenzi humu, kama ni fursa mzee Nomadix tufahamishane
Aione:
Kijana Masikini
Acha dharau, af usirudie.haszu na connections pia wanataka urafiki naww mcheze kibaba baba