kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,095
Ndege wafananao huruka pamoja mkuuSasa wanaume mkuu nawapeleka wapi, ujue opposite charges attract like charges repel.
Ndege wafananao huruka pamoja mkuuSasa wanaume mkuu nawapeleka wapi, ujue opposite charges attract like charges repel.
Sasa ndio inabidi umsaidie zaidi na kibochiWeeee siyo mtu wangu mi mwenyewe nimekuja kumsaidia kutafuta marafiki
Loh! Bado mayai hayajaanguliwaMama ndege hebu nipe ndege mmoja wa kike katika watoto wako niruke nae.
Sikia sasa nifosie tag mbili tatu iviSawa mkuu pata
HatakiSasa ndio inabidi umsaidie zaidi na kibochi
kuna huyu pambana nae Evelyn SaltSikia sasa nifosie tag mbili tatu ivi
🤣🤣🤣hayajarutubishwaUnanibania tu sasa mayai yaanguliwa yamekuwa matunda!!!
Unataka ang'olewe meno bila ganzikuna huyu pambana nae Evelyn Salt
Mama NdegeNataka yeye ndio hataki
Umeniingiza mkenge jombiiii. 😆🙌🏽kuna huyu pambana nae Evelyn Salt
Ndiyo huko huko🤣🤣Eh! sayansi ulisomea wapi mama ndege au ubongo kids
Urafiki gani wa kutaka vipochi jamani?Nataka yeye ndio hataki