Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,850
Mkuu sisi wengine tuna mambo mengi mtaani kiasi hatuna muda wa kitafuta wapenzi ndiyo maana tunakuja kutafuta humu, na kimsingi wapo tunaofanikiwa mfano mimi.Hivi hii ni aina nyingne ya biashara huko daslam au naona kama kuna boom la kutafta marafiki na wapenzi humu, kama ni fursa mzee Nomadix tufahamishane
Aione:
Kijana Masikini
Cc: Marry Diana