Natafuta rafiki wa kike, mengine tutayajenga

Natafuta rafiki wa kike, mengine tutayajenga

kazi kweli kweli, kuna mmoja anakuja hivi halafu kama anaondoka ! Kuna mwingine unyama sana, wadau mliupiga mwingi kunipigia pande mlicheza kama Pele!
Tupo pamoja mkuu, muhimu wawe wanajitambua halafu unachagua anayejitambua zaidi.

Kazi njema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom