Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 2,138
- 6,079
Nini tena Mkuu?Wacha wee
Nini tena Mkuu?Wacha wee
Walaa! Mimi nilikua wa napita tuuNini tena Mkuu?
SawaWalaa! Mimi nilikua wa napita tuu
Wawili na nani mkuu? 😅Kuna mambo ni ya wawili tu.
Mimi nitoe kwanza 😅😄wew na mimi
Kwenye huo urafiki kutakua na faida zipi?KWEMA WANAJUKWAA.
Naamini JamiiForums kuna genuine ladies wasio na mambo mengi, watulivu, wasikivu, wacheshi, wenye urafiki wa kweli.
Ningependa ujitokeze unaewiwa kutaka tuwe marafiki, umri ni miaka 20 hadi 29. Mkazi wa popote nchini, elimu yoyote, kazi yoyote halali.
Natanguliza shukrani kwenu, nitafurahi kupata marafiki.
Ahsante!
Ipambanie mwnyw, mm sitokuwepo wakati unaipiga 😂Kabisa mkuu mwambie afungue piemu.
Oooh sawa sawaFaida lukuki, friendship for benefits.
🚶🏼♀️Nimebadili mawazoEh tena! si umekubali, umeghairi tayari