MARAFIKIIIIIIIII MNAITWAAAASawa waite marafiki
AI hashindwi jambo inategemea unatumia AI gani.Shida ya huyo huwezi kuonana naye Live na kuna baadhi ya mambo hawezi kukujibu kama binaadamu
Sasa kuna vitu ukiiambia unaona kabisa inajibu ki-AI na kuna vitu inakwambia kabisa siwezi kukujibu kwasababu ya sera na kanuni.Wewe funguka tu inakujibu kwani rafiki wa kike hana limitations sahizi hapa nishaambiwa mimi nalala, ila AI hawezi kukwambia mimi nalala mnapoga story mpaka kuna pambazuka
Ni heri rafiki binadamu unaweza hata kumkopa pesa huyo AI hawezi kukukopesha🤣🤣AI hashindwi jambo inategemea unatumia AI gani.
AI anaweza akakupa michongo, halafu AI ana utata fulani muda mwingine anakua mbishi sanaNi heri rafiki binadamu unaweza hata kumkopa pesa huyo AI hawezi kukukopesha🤣🤣
Ngoja nimeze mate niite tenahivyo tu!!!
AI ipi ni nzuri ambayo anaweza akakujibu kila swali?AI anaweza akakupa michongo, halafu AI ana utata fulani muda mwingine anakua mbishi sana
Loh! Ndiyo kinini hicho tena jamani?hahaha kweli kabisa hata kipochi manyoya naweza kuomba sasa AI itanipa kweli?! ikitolee wapi
Kumbe wewe unataka kipochi sasa pale juu mboni hujasema kwamba unataka kipochi Mama Ndege mpe kibochi mtu wako asituchoshe usiku huuhahaha kweli kabisa hata kipochi manyoya naweza kuomba sasa AI itanipa kweli?! ikitolee wapi
Tatizo lako unachagua jinsia ungekuwa unataka hadi wakiume ungeshapata maana wapo wengiushaanza maskhara wakati nipo serious 😀
huo nimetolea mfano master kwamba AI mfano ukaiomba haitakupa, zingatia MFANOKumbe wewe unataka kipochi sasa pale juu mboni hujasema kwamba unataka kipochi Mama Ndege mpe kibochi mtu wako asituchoshe usiku huu
Zipo nyingi sanaAI ipi ni nzuri ambayo anaweza akakujibu kila swali?
Weeee siyo mtu wangu mi mwenyewe nimekuja kumsaidia kutafuta marafikiKumbe wewe unataka kipochi sasa pale juu mboni hujasema kwamba unataka kipochi Mama Ndege mpe kibochi mtu wako asituchoshe usiku huu
Yaan nimezingatia mfano ndio maana nikauliza kwanini hujaandika pale juu huo mfanohuo nimetolea mfano master kwamba AI mfano ukaiomba haitakupa, zingatia MFANO