Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

Niko Arusha
Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama, asiwe mfia dini za wazungu
Mimi ni mweupe maji ya kunde,umri wangu miaka 35,sijaoa wala sina mtoto
Rafiki ninayemtaka
Awe mweusi
Awe mrefu
Asiyejichumbua
Asizidi miaka 28
Asiwe na mtoto
Mawasiliano yangu: brightcreeper87@gmail.com
Watakuuliza asiyekula nyama ipi.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Watakuuliza asiyekula nyama ipi.

vigezo viiingi ww sema unatafuta malaya la jf likufuate pm muyajenge....
mtu asiekula nyama huyo naye ana mtindio wa ubongo maana unafuata tamaduni za kizungu na kuzifia ila dini zao hutaki kuzifia rasta wa zamani walikua na akili wa sasa vilaza watupu
Una uelewa mdogo sana wa mambo. Kutokula nyama ndo uhalisia wa maisha ya mtu mweusi
 
Kwani akila wew unadhurika na nn?, Wew kama huli yeye si atakupkia milenda yako. Mashart ya kipumbav inamaana mkiish nae ndugu wanaotumia nyama wasije au wasipikiwe?
Brother don't attack me,I didn't attack you. Sipendi interaction na mtu wa tamaduni tofauti na tamaduni yangu ndo maana nimesema asiyekula nyama
Kama unakula nyama pita kushoto
 
Nielewe,sìtafuti mtu anayekula nyama ili nije nimuachishe. Natafuta mwenye utamaduni huo
Ukikosa uelewa wa tamaduni za mtu mweusi ndo utaniita bahiri,kutokula nyama haina maana sina kitu,ni utamaduni niliokuwa nao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom