Well, pole dadaa: nahisi kama unasumbuliwa na ukiwa flan vile!
Mimi nimekulia katika extended family; Tumezaliwa tisa kwa mama mmoja, broda wetu mmoja kutoka kwa mama mwingine (mzee wetu alikuwa fiti enzi zake!), Imagine wote ndani ya nyumba moja kuuubwa!...liishi kwa furaha tele. Nakumbuka hata baba yetu alipendana sana na ndugu zake, mama yetu alipendana sana na kaka yake wa pekee! Likizotyme ilikuwa furaha tele, either ndugu wengi sana walifika kututembelea (wakiwa na familia zao!), au sisi tulienda kuwatembelea! In short we ware one huge and happy family.
Wakati huo skujua kama sku moja tutasambaratika (i feel tears!), wengine hawapo tena dunian.........!!....!!!(...painful! RIP) na wale ambao badoo tuppo kila mtu ana maisha yake: kila mmoja amefuata njia ambayo anaona ni nzuri kwake binafsi! mzee wetu amebaki mpweke sana, mke wake is no more, na sisi wanae tuko mbali sana!!! Nikikumbuka uwa naumia sana: those good old days!
Leo hii nina familia yangu, nina marafiki (My Wife H, My son Jr. and of course my best friend Den Chi!), watu hawa nawapenda na nawathamini sana hapa duniani, wao ndy wanafahamu kuwa leo mudi yangu si nzuri ama mbaya: wanajitahidi kuniweka sawa kwa maneno na vicheko. We have one happy family once more: lakn all in all nikikumbuka familia yetu 30 years ago....kisu kikali hunichoma moyoni shaaaa!
Back kwa wewe unayetafuta marafiki, sidhani kama rafiki anatafutwa delibeletli kwa jinsi hiyo; automatically kulingana na mazingira kuna watu utajenga nao mazoea, na kati yao kuna wachache ambao Mungu atawaunganisha nawe, tabia na mambo yenu yatakuwa yanaendana na mtakuwa kitu kimoja (be careful though!).
All the best!