chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,039
- 3,084
Rafiki yangu moja ana uwezo wa ajabu wa kutafuna aloevera for fun, kama wewe ambavyo unaweza kutafuna mua, mandazi au kunywa soda
Ikumbukwe hakuna kitu kichungu zaidi ya aloevera mimi niliwaibkuipaka usoni kulikua na tatizo kidogo lakini nilivoipaka nikashangaa ladha yake naisikia kabisa.
Kuna mtu mwingine akiangalia tu aloevera anasikia ladha chungu mdomoni kwasababu aloevera ni chungu sana