Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,869
- 97,263
umetoa wapi?Pesa ipo n ww tuu
umetoa wapi?Pesa ipo n ww tuu
Mnajipeleka wenyewe hakuna anayewapeleka!Duh kazi ipo mnatupeleka speed sana...
😂😂😂 makubwaa!! LolWote wameokoka,wanatafuta ambao hawajaokoka kuongeza idadi ya waumini kanisani
Haki ya Mungu dogo, unatafuta kuchapwa fimbo kwa lazima sasa sio?Nasema acha bangi dogo😹😹
Nmeiba 😎umetoa wapi?
Kamati ya roho mbaya
Try me😹😎Haki ya Mungu dogo, unatafuta kuchapwa fimbo kwa lazima sasa sio?
Mambo si ndo haya sasa mpenz wangu 💕 . Nichumu mpenz wangu 😍Niko serious sana🫢
Duhhh, au ulimwambia ndo unajitafuta??Ah mchukue tuu mkuu, mm nmemshindwa 😎
Bahati nzuri unaongea kuwa Umshikili viatu unajua tu nikisema nibadilike hakuna rangi utaacha kuionaTry me😹😎
Hapo safi! Nicheki leo tukale k/moto!Nmeiba 😎
Na watu waliowazidi maendeleoDuh aise 😂 Aya bhana ndio kamati inayodeal na nini?
Muaahh!!😘😘Mambo si ndo haya sasa mpenz wangu 💕 . Nichumu mpenz wangu 😍
Umefunga pm sasa 😎Hapo safi! Nicheki leo tukale k/moto!
Ndio, ety ndo mana Akanikataa, anadhani hata mbuyu uliibuka hvy hvy na huo ukubwa wake wakat ulianza kama mchicha 😎Duhhh, au ulimwambia ndo unajitafuta??
We shenzi pm yanini sasa unamuogopa nani? Hebu toa location mimi nianze safari!Umefunga pm sasa 😎
Tatizo watakuja fisi wengine 😎We shenzi pm yanini sasa unamuogopa nani? Hebu toa location mimi nianze safari!
Hawawezi utaniona tu kafupi kama mitungi miwili afu kaneneee keusi, code hiyo😎Tatizo watakuja fisi wengine 😎
Kafie mbele huko, usije ukaniloga 😎Hawawezi utaniona tu kafupi kama mitungi miwili afu kaneneee keusi, code hiyo😎