Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,710
- 102,482
Asisahau keupe.Naam 😎
Asisahau keupe.Naam 😎
Umewaza mbali sana mkuuMaandalizi ya kupambana na el nino!😀 Uhakika wa utelezi ndani.
Hahahahaaaa nadhani gen -z tupo tunafanya vyema sana kwenye 1 na 2Acha kunipeeleka speed mimi na huyo millennial wapi na wapi
Wee nitatafuta hata kigen zee kiibust iamke😂Au sio mjukuu, basi pambana na pre menopause, usiombe ile hormone ya kutengeneza shape ilale usingizi😬
Nipo kwneye harakati za kumchambua mchumba!🥴
Kamati ya roho mbayaUnitafutie kamati, 🥱 sijui kamati gani itanifaa
Hahahahaaaa dah gen -z kwa hali hii ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko kuacha kubust iamkeWee nitatafuta hata kigen zee kiibust iamke
Kuwa serious basi. Usisababishe humu jukwaani nijione kama mkuu Melo ujue? 🤔Niingie mara ngapi hebu twende kwenye tembo achana na hizi mbanga😎
Si ndio kazi mliobakiza hapa ulimwenguniHahahahaaaa dah gen -z kwa hali hii ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko kuacha kubust iamke
Niko serious sana🫢Kuwa serious basi. Usisababishe humu jukwaani nijione kama mkuu Melo ujue? 🤔
Umenishindwa au huna hela🙄Ah mchukue tuu mkuu, mm nmemshindwa 😎
Duh kazi ipo mnatupeleka speed sana...Si ndio kazi mliobakiza hapa ulimwenguni
Pesa ipo n ww tuuUmenishindwa au huna hela🙄