ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,267
- 129,615
Kadri unavyokuwa mzoefu humu ndivyo unavyogundua mengi kiongozi. Endelea kupambana..Mbona unaiweka uvunguni...
Kadri unavyokuwa mzoefu humu ndivyo unavyogundua mengi kiongozi. Endelea kupambana..Mbona unaiweka uvunguni...
Endelea kutafuta uzoefu kwa vitendo mjukuu.Mzee ndio sijui sasa fanya maelekezo hapo!
Unataka bikira au?Hello
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38.Natafuta make wa kuoa mwenye umri kuanzia miaka 30 nakuendelea.kazi nimejiajiri mwenyewe,Naishi mwanza,ni mkristu nilieokoka.
Mwanamke Ambaye yupo serious Naomba tuwasiliane pm au .0775 627 723 serious kwa hili
Wote wameokoka,wanatafuta ambao hawajaokoka kuongeza idadi ya waumini kanisaniHuko kanisani kwenu hujawaona?
kanisani ninalo sali sijawahi onayani kwenye ndoa 20 ukipata labda ni 1 au 2 tu!
Nimeishia hapo.Endelea kutafuta uzoefu kwa vitendo mjukuu.
Pole! Tatizo umefunga pm, ningekuambia kwa vitendo!Nimeishia hapo.
Mzee hebu tulia sawa? Relaxx..🫳🏽Pole! Tatizo umefunga pm, ningekuambia kwa vitendo!
Kanisani huko kachungaji huwa kamewalamba wote wale wazuri.Hata mimi hua nashangaa ni ngumu sana kukuta wameoana wa kanisa hilohilo
Nipo balehe ya pili mjukuu!Mzee hebu tulia sawa? Relaxx..🫳🏽
Na unakuta kuna watoto wakali kabisa, tena wana choir.....kanisani ninalo sali sijawahi ona
Hahahahaaaaa sawa ngoja tuendelee kula nyama... mtori tutaukuta huko chini...Kadri unavyokuwa mzoefu humu ndivyo unavyogundua mengi kiongozi. Endelea kupambana..
Pole mimi ndio naingia menopauseNipo balehe ya pili mjukuu!
bikira ni nadra sana....Unataka bikira au?
Hahahahaaaaa inategemeana.....Kanisani huko kachungaji huwa kamewalamba wote wale wazuri.
Naam 😎Madini hayahaya kama anayoyatemaga Dudubaya?
Au sio mjukuu, basi pambana na pre menopause, usiombe ile hormone ya kutengeneza shape ilale usingizi😬Pole mimi ndio naingia menopause