Natafuta mwanamke wa kuishi Nae. Seriously

Natafuta mwanamke wa kuishi Nae. Seriously

Mbonde khaimu

Member
Joined
May 16, 2014
Posts
30
Reaction score
118
Natafuta Mwanamke wa kuishi nae ,
Natafuta mwanamke wa kuishi nae serious, awe na miaka 25+, awe dar around Buza lakini, sifa awe Muslim, awe mnene mwenye shape, mweupe , nitamuhudumia na hata pa kuishi kodi nitamlipia, mm nina 32 miaka, akiwa hata na mtoto mmoja sio mbaya, awe anajielewa akili za kiutuuzima ajue maisha. Serious hii awe ametulia , akubali baadae kuwa mke wa pili. Kama upo teyar njoo inbox. Note nitakugharamia kila kitu tukianza kuishi ila uwe dar around buza mbagala hv mpk temeke. Namba 0666607546
 
Upo vizuri mkuu.Miaka "salasini na mbili" unataka uongeze "u-house" mwingine/mke wa pili? Anyway,ni sunn'a na maelekezo ya dini.Kila la kheri kwako.
 
We jamaa lishamba sana.

Yaani unataka pisi alafu unasema atakuwa mke wa pili? (umejotolea point kabisa)
. Hakuna pisi inayo penda kuwa second option
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom