Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

Tatizo mahusiano mengi siku hizi watu mnaingia mkijiuliza mtafaidika nini, badala ya kujiuliza mtaongeza value ipi kwenye maisha ya mwenza

85% ya watanzania especially vijana ni the so called wenye maisha magumu, Sasa hapo mwanaume mwenye uwezo wa kukuhudumia ni upate mme wa mtu au babu Sweet16
Nikaongeze value kwa mwanaume how n why🤣🤣 nini maana ya kuwa kichwa? Sie si ni sehemu tu ya ubavu wake yeye apambane atunze ubavu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom