😁 😁 kumbe wewe ni jirani yangu mwanzaAna kazi gani? Sio tufike tuanze kukopesha mabeseni kama waha
😁 😁 kumbe wewe ni jirani yangu mwanzaAna kazi gani? Sio tufike tuanze kukopesha mabeseni kama waha
Bado mpenz, na nina uvumilivu wa hali ya juu, hata ukisema itakuja baada ya miaka 2, naisuburia hivyo hivyo.. 😊😊Hmm kwani haijafika tu??
Ndio mkuu😁 😁 kumbe wewe ni jirani yangu mwanza
Una utani kumbe😂Bado mpenz, na nina uvumilivu wa hali ya juu, hata ukisema itakuja baada ya miaka 2, naisuburia hivyo hivyo.. 😊😊
Yeah mimi hutakiwi kunipa promise za ahadi ukadhani nitakata tamaa, unavyozidi kukaza ndo unavyo zidi kunipa morali ya kukutafuta. Ikiwezekana nitawaambia na mods waifungue PM yako kwa vipande vya sarafu. 😅😅Una utani kumbe😂
Church girl ni toxic for reallyHuko kanisani kwenu hujawaona?
Usinifanyie hivyo🥹Yeah mimi hutakiwi kunipa promise za ahadi ukadhani nitakata tamaa, unavyozidi kukaza ndo unavyo zidi kunipa morali ya kukutafuta. Ikiwezekana nitawaambia na mods waifungue PM yako kwa vipande vya sarafu. 😅😅
Nenda tiktok, utampata chap within a minuteHello
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38.Natafuta make wa kuoa mwenye umri kuanzia miaka 30 nakuendelea.kazi nimejiajiri mwenyewe,Naishi mwanza,ni mkristu nilieokoka.
Mwanamke Ambaye yupo serious Naomba tuwasiliane pm au .0775 627 723 serious kwa hili
😂😂😂Church girl ni toxic for really
siku hiz unalike kama rarareeNdio mkuu
OK njoo inbox mpenz wangu 😍 😍Usinifanyie hivyo🥹
Nakaribia kuchanganyikiwa😂siku hiz unalike kama rararee
unakuta notfication 20
like zote za seran
Dahh unanikoleza kiaina, una mitego wewe!OK njoo inbox mpenz wangu 😍 😍
Ni vile tu hutaki moyo wako unipende, ila ni wazi kabisa moyo wako upo tayari kukaa kwenye malavidavi na mimi 😍😍Dahh unanikoleza kiaina, una mitego wewe!
Moyo wangu unawaza pesa tu lavidavi nimewaachia nyie matajiri😂Ni vile tu hutaki moyo wako unipende, ila ni wazi kabisa moyo wako upo tayari kukaa kwenye malavidavi na mimi 😍😍
😀 😀.Moyo wangu unawaza pesa tu lavidavi nimewaachia nyie matajiri😂
Au nakosea😂😀 😀.
njoo dar upumzike kidogoNakaribia kuchanganyikiwa😂
Nitumie kanauli sisteri..njoo dar upumzike kidogo