Natafuta Mwanamke wa kuishi nae ,
Natafuta mwanamke wa kuishi nae serious, awe na miaka 25+, awe dar around Buza lakini, sifa awe Muslim, awe mnene mwenye shape, mweupe , nitamuhudumia na hata pa kuishi kodi nitamlipia, mm nina 32 miaka, akiwa hata na mtoto mmoja sio mbaya, awe anajielewa...