Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 27,655
- 72,084
Sana vinaboaSema hivi visnow vinazingua kinyama
Sana vinaboaSema hivi visnow vinazingua kinyama
No ties ataruhusiwa nlipompangia kuleta wanaume mm tutakutana siku za uzazi tu sio starehe hizo apeleke kwa romantic boyfriend .kutoka sio kwenda kulala na mm akimaliza msosi na savana 7 anaondaka ananiacha na demu wanguutofauti na wana ndoa uko wapi sasa ?
mbona ni yale yale tu
Hii kauli imenifanya nimecheka. Jamaa anataka demu na mimba yake waishi kininja 😅Aishi na mimba kininja kwao hawajui ya nani
Daah!!🤣🤣🤣🤣Eti utamtambulisha kwenu
Ila yeye asikutambulishe kwao
Aishi na mimba kininja kwao hawajui ya nani
Aisee!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hela huna, unatoa masharti km vile wewe ni King Mswati.....
Acha kushinda JF kuandika ujinga ...tafuta hela Son.
Ney ana vigezo pia... unga nae tu mkuu....neema pub
Wote tukiwa na fikira sawa dunia itasimama mkuu.Dunia inaenda Kasi Sana aisee
📌📌📌Watoto 3 bila ndoa? Duh ebu tupunguzieni single mothers bana, angekua dada yako ungemruhusu afanye hivyo?
kila la kheri .Nimeona nahitaji kupata uzao pia wa aina tofauti .
Vigezo
Awe na elimu ya form 6 na asiwe amewahi pata four secondary
Umri kuanzia 20 hadi 34
Asiwe na zaidi ya mtoto 1 .fursa kwa single mothers watapewa first priority
Awe mrefu asiye muathilika .
Asiwe muhaya .muha.mgogo .mbulu.au mtu wa pwani sijui lindi mtwara na mzqnzibar ndo hata asikoment
Wasukuma.wachaga.wajita wakerewe wakurya wakinga .wabena .watapewa kipaumbele
Asiwe mzuri kupitiliza awe kawaida lengo ni uzazi sio kupendana .weusi watapewa nafasi zaidi.
Walemavu watapewa upendeleo.
Masharti akipita hatua hiyo
1.kupimwa afya na dr wangu
2.tutakutana kwa lengo la uzazi akiwa siku zake tuu pia kama ana mpenzi wake anaruhusiwa kuendelea nae
3.tutatoka sana out ili tujenge bond ya kuwa washkaji nia ni kujiandaa kuwa wazazi bora kwa wanetu.
4.nitamtambulisha kwetu kama mpenxi wangu ila sitatambulishwa kwao hadi azae
5.zoez litaanza mwez wa kwanza baada ya kupata ujauzito kwa mujibu wa daktari wangu bili za kuishi zinakuwa zangu ntamlipia kodi chakula vipodozi yeye kama yeye tutaelewana tu
Mengine siweki hapa ila ntamuhakikishiq kuwa na kipato chake kizuri .
Asanteni.
Alisema hivyo? Huu uchawa wa kijinga kabisa😀Nimekumbuka Baba levo nae alikua angekua na uwezo wa kuzaa angemzalia diomond mtoto Hii dunia tunaona mengi.
KwakweliWote tukiwa na fikira sawa dunia itasimama mkuu.
Nakushauri jiunge reddit.com: Sprich mit Menschen aus aller Welt ukishajiunga utajifunza mengi sana mpaka utajiuliza kwa nini internet forum zisingekuwa kama Reddit.Kama ulivosema Zaman pia zsman walikuwa wanatumia majan kutawaxa je tuendelee