Natafuta mtu wa kuzaa nae watoto watatu bila ndoa

Anachozungumza mleta mada yupo sahih, huwezi pata upendo, sex na ndoa bora kwa mwanamke mmoja lazima umpe kila mmoja jukum analoliweza.
Anaeweza kukupenda mpende pia
Anaeweza kukupa sex makini mpe nafasi
Na anaeweza kukuzalia watoto mpe mimba.

Kisha wote waruhusu waendelee na maisha yao nje ya hayo majukum yako msigandane.

Mambo ya kutaka Upendo, Sex, Watoto na ndoa kwa mwanamke mmoja ni unyanyasaji wa kijinsia na kujilimbikizia ajira.
 
Nimeona nahitaji kupata uzao pia wa aina tofauti .
Vigezo
Awe na elimu ya form 6 na asiwe amewahi pata four secondary
Umri kuanzia 20 hadi 34

Asiwe na zaidi ya mtoto 1 .fursa kwa single mothers watapewa first priority

Awe mrefu asiye muathilika .

Asiwe muhaya .muha.mgogo .mbulu.au mtu wa pwani sijui lindi mtwara na mzqnzibar ndo hata asikoment

Wasukuma.wachaga.wajita wakerewe wakurya wakinga .wabena .watapewa kipaumbele

Asiwe mzuri kupitiliza awe kawaida lengo ni uzazi sio kupendana .weusi watapewa nafasi zaidi.

Walemavu watapewa upendeleo.

Masharti akipita hatua hiyo
1.kupimwa afya na dr wangu

2.tutakutana kwa lengo la uzazi akiwa siku zake tuu pia kama ana mpenzi wake anaruhusiwa kuendelea nae

3.tutatoka sana out ili tujenge bond ya kuwa washkaji nia ni kujiandaa kuwa wazazi bora kwa wanetu.

4.nitamtambulisha kwetu kama mpenxi wangu ila sitatambulishwa kwao hadi azae

5.zoez litaanza mwez wa kwanza baada ya kupata ujauzito kwa mujibu wa daktari wangu bili za kuishi zinakuwa zangu ntamlipia kodi chakula vipodozi yeye kama yeye tutaelewana tu

Mengine siweki hapa ila ntamuhakikishiq kuwa na kipato chake kizuri .
Asanteni.
kila la kheri .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom