Hakuno shido kabisokwani kuna shido?
basi mololoHakuno shido kabiso
Punde si punde litatokea la kutokea !Sasa huuuuyuuuuu!
Napingana nawe katika hili.Huwezi kupata mke mtandaoni
- Umri sio tatizo linapokuja swala la Mwanaume kuoa.Yaani una miaka 50 unatafuta mke mwenye miaka 25 🤣🤣🤣
Labda amefariki!Mwanaume ukiwa na miaka 50 shikilia Sana ndoa yako
Ukiachana umri huo ni kujitafutia Tu shida
Sasa mke wake mwenzetu huyu kamuachia Nani jamani?
Wapo wakewenzaHuwezi pata Mke at 50, fool
Wapo wakewenza
Full stressWapo, hata wa miaka 20, ila siyo maisha stable bro
Ninavyokufahamu Upo sahihi na uyasemayo. Humuwezi! Atafute under 25Sitaki mie.nishastaafu mapenzi.kwanza wazee wa onyoo.wabovuuu,wachoyooo
Bora vijana Wana feelings. Hawa mwendo hakuna akae Tu mwendo wa kununua huduma kwa gen z.ila wanawake matured aaah mwanaune wa 50. Sio mambo yetu.
Aah wapi sio kwa miaka hii..huyu mzee mamshauri aachane na GenZ watamuwahisha kwa baba saa mbili asubuhi- Umri sio tatizo linapokuja swala la Mwanaume kuoa.
View attachment 3644848
Wasiwasi wako ni upi kuhusu hilo?Yaani una miaka 50 unatafuta mke mwenye miaka 25 🤣🤣🤣