😂😂😂 daaah! Viva JamiiForumsUtafutaji mwema Mzee wangu ila samahan huyo mtoto wako mmoja ni wa kike au kiume? Maana na mm natafuta mke Mzee wangu
😂😂😂 daaah! Viva JamiiForumsUtafutaji mwema Mzee wangu ila samahan huyo mtoto wako mmoja ni wa kike au kiume? Maana na mm natafuta mke Mzee wangu
Sawa mwanetu Baki hivohivoHao wa kijijini kwenu hatuwajui wanaweza kuwa imaginary people
Mzee mwenzangu mbona wife material anapata tu! 50 years bado kijana sana kwa mujibu wa UN-WHO. Mimi mwenyewe 50 ya jioni lakini juzi kati almanusura nikimbie na kamtu ka watu, sema tu wazee wengine tunajielewa! Kamekuwa kakija na mitego lakini wapiiiii! Hivyo mzee mwenzangu asikatishwe tamaa!Si busara kuwakatisha watu tamaa, wakati mwingine experience binafsi isikufanye ukayaona mambo kwa ujumla wake,kwa maana kwamba ukaona kama kila mtu yupo hivyo
Kuna watu wenye umri mkubwa nimewashuhudia wakioa mabinti wa umri wa kati na ndoa zao zipo imara tu
Si kila mzee au mtu mzima hana nguvu za kiume,hapo kuna mambo mengi yana changia,life style ya maisha,mambo ya kuzingatia mlo kamili na mazoezi
Sasa mkiyaangalia mambo kigen Z, mtashindwa kuona uhalisia na ukweli wa mambo
Kama wewe huwezi kuolewa na mzee wa miaka 50 basi jizungumzie wewe binafsi lakini usiongee kiujumla kana kwamba unawajua watu na machaguo yao
Kuna wanawake wengine wanapenda watu ambao wana umri mkubwa kwasababu hakuna jipya wasilo lijua,hakuna kiuno au figure ambayo inawachanganya, katika ulimwengu wa mapenzi wamepitia mengi na sasa wapo tayar kutulia na kuinjoy maisha ya ndoa
Siku zote ongea kwa nafsi yako lakini usitake kuwaongelea watu wengine kana kwamba unajua machaguo yao.
Mzee mwenzangu unajua mtu kama yupo chini ya 40 anaona kama 50 ipo mbali sana halafu anaona kama kuna mabadiliko makubwa sana,kesho nae akifika 50 akiambiwa ana Hati Hati ya kupata mke atashangaa sana,na kuona hawa vipi wanaona ndio nimeishiwa mbona hapa sita kwa sita ni kazi kazi tuMzee mwenzangu mbona wife material anapata tu! 50 years bado kijana sana kwa mujibu wa UN-WHO. Mimi mwenyewe 50 ya jioni lakini huzi kati almanusura nikimbie na kamtu ka watu, sema tu wazee wengine tunajielewa! Kamekuwa kakija na mitego lakini wapiiiii! Hivyo mzee mwenzangu asikatishwe tamaa!
Vizee vya Kisukuma huwa vinachukua watoto wadogo kabisa kama wake kwa ajili ya kuvitunza vinapoelekea kuiaga dunia, sasa huyu mwenye 50 anakosaje eti?Mzee mwenzangu unajua mtu kama yupo chini ya 40 anaona kama 50 ipo mbali sana halafu anaona kama kuna mabadiliko makubwa sana,kesho nae akifika 50 akiambiwa ana Hati Hati ya kupata mke atashangaa sana,na kuona hawa vipi wanaona ndio nimeishiwa mbona hapa sita kwa sita ni kazi kazi tu
Huyo bwana atapata mke tena hata wa 20's anapata vizur sana,mwanaume huwa hazeeki linapokuja swala la unyumba
Uongo si wewe bado Miss natafutaSitaki mie.nishastaafu mapenzi.kwanza wazee wa onyoo.wabovuuu,wachoyooo
Bora vijana Wana feelings. Hawa mwendo hakuna akae Tu mwendo wa kununua huduma kwa gen z.ila wanawake matured aaah mwanaune wa 50. Sio mambo yetu.
Anaweza kupata mke wapi?Huwezi kupata mke mtandaoni