Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 1,916
- 4,637
Gigy money mum
e wake wamekutana instaNapingana nawe katika hili.
- 1. Hapa JF kuna shuhuda kadhaa - za waliopata mke/mume
- 2. Hapa JF kuna wengi wengine wanahitaji mke/mume
- 3. Waliopo mtandaoni ndio hao hao waliopo mtaani
Faida ya kutumia mtandao kama media ya kufikisha ujumbe ni kuwa mtu anajitathimini kuwa na nia ya dhati, anamfuata mhusika inbox, wanapanga na kukuabliana, Hawa wote wamekutana wakiwa na nia moja kupata mwenza (mke/mume).
[Scenario] Kuna wale wenye imani kuwa mke/mume hutoka kwa Bwana ( Muumba), Sasa wewe unaishai Lindi (mfano) na mwenza wako uliye andaliwa na Muumba Yuko Mwanza (mfano). Je huoni kuwa mtandao ndio njia pekee ya nyinyi kuweza kukutana na kuwa mwili mmoja. Hii si ndharia, Haya yanatokea; Tumeshuhudia maa kadhaa mke/mume kutoka mbali zaidi, tena toka matifa tofauti.
Wewe waweza kuwa Mtanzania, na ukapata mke toka USA, UK vk
Zama zimebadilika sana.
Muhimu soma hapa: Tafadhali zingatia vigezo hivi unapoanzisha mada ya kutafuta Mke/Mume