Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 60,920
- 123,974
Namuonea tu huruma, lakini kupanga ni kuchaguaWasiwasi wako ni upi kuhusu hilo?
Namuonea tu huruma, lakini kupanga ni kuchaguaWasiwasi wako ni upi kuhusu hilo?
Au unahofia atakuwa anaamkiwa hadi aikimbie ndoa kwa kiwewe?Namuonea tu huruma, lakini kupanga ni kuchagua
Kuamkiwa kama kuamkiwa?Au unahofia atakuwa anaamkiwa hadi aikimbie ndoa kwa kiwewe?
Ngoma mpelampela haina kufumba macho hadi cheche!Asije kuomba pooh sambamba na kisado cha maji ya kunywa.Kuamkiwa kama kuamkiwa?
Afadhali mambo yasiwe mengi.Hongera sana.min -me njoo umsalimie shemeji yako.
😁😁 AjipangeNgoma mpelampela haina kufumba macho hadi cheche!Asije kuomba pooh sambamba na kisado cha maji ya kunywa.
Asante sana mkuu.Afadhali mambo yasiwe mengi.Hongera sana.
Nilitaka kutoa ushauri kwamba tufumbe macho na kumuombea dua njema.Kikwazo ni angalizo la jamaa mmoja alisisitiza "SEHEMU YA KUTUMIA AKILI NISIENDEKEZE MAOMBI NA SALA NITAKWAMA"!😁😁 Ajipange
😁😁Utafutaji mwema Mzee wangu ila samahan huyo mtoto wako mmoja ni wa kike au kiume? Maana na mm natafuta mke Mzee wangu
Usiogope picha.Hata za mwalimu Nyerere zipo lakini hatawali.Mama wa mtoto wako Yuko wapi?
Sio nije hapo nikute picha zenu za harusi ukutane hapo sebleni. 😜
Labda kama hunanhela ukiwa na hela mika 50 mbona unajiopole mrembo wa miaka 26 viziri tuuMwanaume ukiwa na miaka 50 shikilia Sana ndoa yako
Ukiachana umri huo ni kujitafutia Tu shida
Sasa mke wake mwenzetu huyu kamuachia Nani jamani?
Tumtakie tu kila la heriNilitaka kutoa ushauri kwamba tufumbe macho na kumuombea dua njema.Kikwazo ni angalizo la jamaa mmoja alisisitiza "SEHEMU YA KUTUMIA AKILI NISIENDEKEZE MAOMBI NA SALA NITAKWAMA"!
Hajasema kama ameacha/ameachwa au amefiwa na mwenza ,mbona mnamhukumu bila kuwa na uhakika?Mwanaume ukiwa na miaka 50 shikilia Sana ndoa yako
Ukiachana umri huo ni kujitafutia Tu shida
Sasa mke wake mwenzetu huyu kamuachia Nani jamani?
Ndo nasubiri hapa 😅Usiogope picha.Hata za mwalimu Nyerere zipo lakini hatawali.
NB;Tunatarajia maelezo yake kwa kina ili asikukwaze.
Dah! Hatari sana hiyo.Naomba serikali iingilie kati ili huo unyanyapaa ukomeshwe.Miaka 50 kwa wanaume wengi wa kitanzania ambao hawaku ishi health life na hela hawana.
1. Tayari wamezeeka
2.kimoja tu chali
3. misuli ya uume imeshalegea na hana uwezo wa uume wake kusimama vizuri.
4. hana uwezo wa kusugua maku vizuri na mwanamke akaridhika.
5. gubu na busara zisizo na maana zinakuwa zimemjaa. tena kama hana hela masharti kibao.
Kiufupi huwezi kupata mke na ukipata ni sababu ya pesa na zikiisha anaondoka huyo mke
Hapana Leo dada, siku hizi ukisha kua na pesa hushindwi hata kama huna pesa mbona vijijini huko wazee wanakimbiza mwenge kama kawa na wana tomb balaa, demu kaolewa juzi tu Leo mimba mpaka unajiuliza hawa wazee wanatumia Nini? Kama ni kutombw miaka 50, bado sana labda pesa, ila wazee wa sasa wana nguvuMiaka 50 kwa wanaume wengi wa kitanzania ambao hawaku ishi health life na hela hawana.
1. Tayari wamezeeka
2.kimoja tu chali
3. misuli ya uume imeshalegea na hana uwezo wa uume wake kusimama vizuri.
4. hana uwezo wa kusugua maku vizuri na mwanamke akaridhika.
5. gubu na busara zisizo na maana zinakuwa zimemjaa. tena kama hana hela masharti kibao.
Kiufupi huwezi kupata mke na ukipata ni sababu ya pesa na zikiisha anaondoka huyo mke