Ndugu zangu natafuta mke mwema naombeni maombi yenu

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Ndugu zangu mimi ni kijana miaka 32+, sina mtoto,mkristo na mpambanaji.

Natafuta mwanamke wa kuoa

*Asiwe na mtoto au kutoa mimba au kutumia dawa za uzazi wa mpango

*Awe mke mwema kwangu

*Mama bora kwa watoto Mungu atakao tujalia

*Awe na umri wa miaka 18-25

*Awe mvumilivu maana maisha ni kupanda na kushuka na asiwe na tamaa mbaya

* Asiwe na tatoo , asiwe katiboa masikio zaidi ya mara mbili, asiwe katoboa pua au kitovu, asiwe mfuasi wa nywele na kucha bandia

* Awe anajipenda yeye na kujikubali jinsi alivyo kwani napenda mwanamke natural

*Awe mkristo ila kama ni muislam akubali kufata upande wangu .

Nimeamua kutafuta na hapa maana naamini waliopo mtaani pia wapo hapa, hata wazazi , marafiki na ndugu zao wapo hapa kama mtaguswa msisite kutuunganisha

Karibuni ..

Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom