Natafuta mke wa kuoa

Jifunafu

Senior Member
May 25, 2020
182
603
Ndugu wanabodi,
Lejea kichwa Cha habari hapo juu.
Mimi nina umri wa miaka 38 yrs old
Elimu. Diploma holder
Kazi. Biashara
Eneo. Rock City (Mwanza)
Dini. Christian
Nina mtoto mmoja ingawa Sina mke.

SIFA ZA MKE NINAE MUITAJI.

1.Awe dini yoyote ya isipokuwa muisalm, hata kama ni muisalm awe tayari kubadili.

2.Awe na umri kuanzia 25 up to 35, hata kama anaye mtoto anakaribiswa ila awe na mtoto mmoja.

3.Awe tayari kuja kuishi mwanza na sio vinginevyo.

4.Awe na elimu kuanzia secondary na kuendelea, Mwenye ajira atapewa kipaumbele zaidi.

5.Kabila lolote isipokuwa MHAYA, MCHAGA au kabila lolote kutoka mkoa wa ARUSHA.

NB. Hata kama ni single mothers watapewa vipaumbele endapo vigezo vitazingatiwa..

Itapendeza ukinifata PM.
 
Niko mwanza natafute

Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom