mhaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Fazili amjibu Mhaya na kuna makubwa ya kujifunza katika mahojiano haya; siri za utajiri wa kimungu

    Wote wanaokuja kumjua Mungu wa Kweli hujilaumu kwanini wamechelewa kumjua Mungu na maisha yao hubadilika kabisa. Kwasababu hukumjua basi naye "hakukujua". Hii ni tabia ya ajabu sana ya Mungu. Unajua kwanini? Ukimheshimu Mungu naye anakuheshimu! Na pia watu wengi hawapo kwa Mungu naye hayupo...
  2. Mganguzi

    Natafuta mke awe Msukuma au Mhaya

    Wandugu baada ya miaka mingi ya kuzurula au niseme kuhama kambi moja kwenda nyingine, rasmi nimeamua kuoa. Nimeamua kuoa serious kabisa na sina utani hata kidogo! Makabila yote nayajua ila nimeamua kuchagua Msukuma. Kwa sasa sioi kwa sababu ya ngono, ila naoa kwa sababu ya maisha. Mwanamke...
  3. Wadiz

    Sijawahi kushinda mechi kwa mngoni, mmakonde na mhaya. Mara zote naambulia droo...

    Hello mambo aje? Ukweli usemwe mara zote nikiwa na shoo na hao magwiji wa kike kutoka haya makabila mhaya, mngoni na mmakonde, mara zote kwenye game nafanywa mimi badala ya mimi kufanya, wana mashambulizi makali kama ya watani zangu Yanga SC dhidi ya TP Mazembe. Sio style moja yaani style...
  4. GENTAMYCINE

    Awabaka Wasichana Watatu waliokuwa wakiokota kuni vichakani

    Watani mpo! Katika hali ya Kushangaza Mtu Mmoja kutoka Mkoani Kagera (kwa Watani zake Wakubwa GENTAMYCINE) kutokana na 'Upopoma' wake uliotukuka aliamua 'Kuwabaka' Wasichana Watatu kwa zamu Porini walikokuwa Wakiokota Kuni. Watani zangu Wahaya hivi 'Uhuni' mmeutoa wapi? Mbona mnatutia sana...
  5. Miss Zomboko

    Musoma: Akamatwa kwa tuhuma za kuwalewesha abiria Dawa ya Congo na kuwaibia

    Polisi mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Rugasha Bukoba Vijijini, Marco Saidi (68) kwa tuhuma za kuwalewesha abiria kwenye mabasi yanayofanya safari zake kati ya Mwanza-Musoma na kuwaibia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibushubwamu amesema kuwa mtuhumiwa huyo amekamatwa...
  6. F

    Kutana na Mhaya Advocate

    Advocate Rwankomez Bushoke Batamuzi, Mhaya wa Ruita Muleba ameenda kwenye harusi ya Muganyizi Byejumula Mulokozi, alivyotaka kuegesha gari yake ikawa hivi:- Mhaya – nionyeshe wenye Harrier wanapaki wapi? Mlinzi (Bageni Bigacho) – lete huku nikuonyeshe. Paki palee… Mhaya – maweee! Wewe Tarishi...
  7. F

    Mhaya vs Mjaluo

    Nyanja: Mahusiano (tukio siyo halisi) Mjaluo Mwl. James Okulo NyakwarChanga wa Kowak (a.k.a Home of Intellectuals) Rorya na Mhaya Rugumamu Ruguyamheto Rutabanzibwa wa Rubya wanalewa kwenye Buffet ya Meli mpya MV Victoria (almaarufu Mama Koku) wakiwa safarini toka Kemondo Bay kwenda Mwanza...
  8. 2019

    Kunani kati ya Mchaga na Mhaya humu jukwaani?

    Binafsi mimi siyo mhaya wala mchaga ila nimeona nyuzi nyingi sana wanakosoana na kutaniana. Jambo la kushangaza zaidi hata kama uzi unahusu mambo mengine akitangulia mhaya kutoa maoni yake ujue lazima mchaga aje kukosoa, mchaga akisema hivi mhaya atakuja kupinga. Mimi nauliza naomba kujua hasa...
Back
Top Bottom