Nafuta mke wa kuoa

philantrhopist

JF-Expert Member
Jun 18, 2023
408
690
Habari zenu...
Mimi ni kijana wa miaka 30 nina bachelor degree,
Ni muajiriwa Serikalini,
Pia mfanyabiashara,
Ni mweusi 5.7 feet tall,
Ni mweusi wa wastani.

Natafuta mke wa kuoa
Awe na umri wa kuanzia 22-30
Awe mchapa kazi
Awe mrefu
Awe na elimu kuanzia kidato cha nne
Awe na hofu ya Mungu.

Aje PM
 
Naomba nikushauri kitu, chukua atakayejitokeza ambaye ni above 30 , hao washakomaa akili na wanajitambua na ni wazoefu kwenye mengi
Hao 22 mpaka 28 hivi wengi wao bado akili zao zina wenge la kutisha sana

Ushauri wa pili, kama hutafanikiwa this time, nextime usitangaze kutafuta mke bali rafiki.. Ukishatoa hiyo ofa watu huficha makucha yao kwa ajili ya kutamani ndoa! Maisha yakushatulia kuna rangi halisi utaziona na nyingine ni nyeusi sana

Ushauri wa tatu, huyo atakayebahatika kupata hii ofa usikimbilie kuoa.. Nenda naye mdogo mdogo walau mwaka the minimum! Mwaka una vipindi vinne.. Unapaswa kupita naye vyote hivyo kisha mfanye marudio.. Maana mwanadamu naye ana vipindi vinne
Kupata
Kukosa
Kufurahi
Kuhuzunika
Kuna mengi pia ya kuangalia ili uweze kuyajua na kuchukua uamuzi sahihi
Mitazamo yake mbalimbali hasa kiimani, kiroho na kimaisha
Nyota zake na zako kama vinaendana
Tabia zenu kama zinalandana
Background yake
Familia yake
Ukoo wake nknk

Ushauri wa nne, ndoa ni taasisi iliyokamilika kwahiyo kila kitengo lazima kisimamiwe vema! Taasisi yenye mafanikio ni ile yenye muongozo sahihi, maono sahihi na utendaji sahihi..

Kumbuka huoi supermarket kwamba utamkuta mwenzako ni mkamilifu kwenye kila mawanda.. Ndoa ni nyumba tupu wakuijaza ni wewe.. Una uhuru wa kuamua ujaze nini

La mwisho ni lazima mpendane kwa dhati ya moyo! Akupende kwakweli kabla ya yote nawe umpende kwakweli kabla ya yote kwakuwa mwisho wa siku baada ya mengine yote kupiga kitakachowabakisha salama ni ule upendo wa kweli kati yenu

Yatafakari haya kama yatakufaa na nakuombea sana upate hitaji la moyo wako lakini pia kwenye hili na mengine yote MTANGULIZE MUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani Kama atatekeleza
 
Asante kwa baraka kaka
 
Habari zenu...
Mimi ni kijana wa miaka 30 nina bachelor degree,
Ni muajiriwa Serikalini,
Pia mfanyabiashara,
Ni mweusi 5.7 feet tall,
Ni mweusi wa wastani.

Natafuta mke wa kuoa
Awe na umri wa kuanzia 22-30
Awe mchapa kazi
Awe mrefu
Awe na elimu kuanzia kidato cha nne
Awe na hofu ya Mungu.

Aje PM
Mke wa kuoa au mwanamke wa kuoa? Dah

Kiswahili shida kabisa this generation. English shida kiswahili shida.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom